Huyu ni zwazwa yani mtu aanze kununua gari kabla ya nyumba!, sisi sio ndege ya kwamba tutaishi kwenye viota!..Kila mtu na kipaumbele chake, Tusipangiane.
Nweii, tumejua umetoka kwenye IST na kuja kwenye Harrier, japo hujasema.
๐๐๐๐๐
Naunga mkono hoja.Huyu ni zwazwa yani mtu aanze kununua gari kabla ya nyumba!, sisi sio ndege ya kwamba tutaishi kwenye viota!..
Nyumba ni muhimu zaidi!.
au una maoni gani cocastic..?
Unaweza ukajikuta unakosa amani na ucjue shida nini kumbe n adha ya usafiri.Kwa Dar jaman usikose private transport
Ikishindikana gar bas jitahid upate hata pikipik.
Kukosa usafir wako Dar sometimes unajikuta ktk mazingira magum sana .
Asikwambiw mtu usafir wa umma hasa hasa Dar ni kero kubwa.
Sawa napata gari gani nzuri kati ya m20-m35?Hahahaโฆ mm sio dalali kakaโฆ ila km unataka kuja ofisini njoo mtaa wa likoma na azikiwe
Ni kwamba umesahau jukwaa ulilopo sio la siasaโฆ. Au na ww unastress za usafiri, Jana uliloa mvua nini?Si mradi ana usafiri? Je nyie miccm mnavyotweza utu wa wapiga kura wenu mradi mjinufaishe mavitambi yenu je?
hoja ipi unayounga mkono...?Naunga mkono hoja.
Uliyo isema wee.hoja ipi unayounga mkono...?
haya sawa tuachane na ya mweka mada atakoma mwenyewe!.Uliyo isema wee.
Yapo mengi ndugu yanguโฆ tena hapo nakupa suv tupuโฆ cz nafahamu unaishi mabondeniโฆSawa napata gari gani nzuri kati ya m20-m35?
Nimekuhamu pia.haya sawa tuachane na ya mweka mada atakoma mwenyewe!.
nimekuhamu...
And this one has to be ur first priority mkuu.Kweli mkuu but Life is about priority
Nakupenda nahitaji uwe mpenzi na mke wangu...๐คฃNimekuhamu pia.
Hahahaโฆ na upele wa nyumba upo katikati y mgongo, sio kila mtu anaweza kuukunakila mtu ana upele wake...
Kabisa tena uanze na vesper zile za kuchargeโฆ japo km unaishi nyumba za kupanga umeme ukiisha itacngiziwa pikipiki yako ๐คฃNinunue tu bike kwanza siwezi toa ten mio hela ya kiwanja kabisa Kigamboni
Aah aah eti mabondeni.Yapo mengi ndugu yanguโฆ tena hapo nakupa suv tupuโฆ cz nafahamu unaishi mabondeniโฆ
ila ujipange mafuta ss otherwise utapiga nalo picha
Kwa budget ya 20 - 30 million utapata :-
Subaru forester, mitsubish outlander, voxwagen tourage, hurrier(not recommend) klugger, rav4 killtime, vargurd, mitsubish RVR, Nissan dualis (not recommend) au labda ulipitishe kwa mwamposa.