Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Kuna ule uzi wa magari mtoa maada kakasirika sana mpaka kafungua uzi wake

Hawezi kukuelewa haya yote unayo sema

Anaona gari ndio kila kitu, bado hajakua
 
Huyu ni zwazwa yani mtu aanze kununua gari kabla ya nyumba!, sisi sio ndege ya kwamba tutaishi kwenye viota!..
Nyumba ni muhimu zaidi!.
au una maoni gani cocastic..?
Ukiona mtu anasema ataanza na nyumba kabla ya gari achunguzwe akili yake.
Naona umemtag empty set mwenzako ili mtongozane kwnye uzi wangu…
Hivi huyo cocastic wako hajakwambia anavyochukia mwendokasi baada ya kubanwa mpaka akaangusha head quarter 🤣
 
Nachukia Mwendokasi, ila napenda usafiri mwingine wa umma, km bajaji, Bolt, Ubber, etc.
Nweiii sijapenda kunishushua lol, 😂😂😂😂
 
sote tukifanana akili unafikiri kutakuwa na usalama..?
hivi we huwazi watu wote tununue gari hiyo jam yake utaiweza kama tu iliyopo sasahivi mnalia..😅

Mtongozo wangu na coca wewe haukuhusu na huu uzi ni wa jf si mali yako tena!.
 
Acha kutisha vijana wapambanaji wewe…
So tusubiri mpaka 45 ndo tushike chuma?🤣
Kipindi hiko hata test ya macho itabid uhonge maana uono utaanza kuwa dhaifu. Au wataka kuendesha gari na fimbo nini? 🤣
 
Nachukia Mwendokasi, ila napenda usafiri mwingine wa umma, km bajaji, Bolt, Ubber, etc.
Nweiii sijapenda kunishushua lol, 😂😂😂😂
🤣 kwa mvua hizi za upepo… hizo bajaji zako cku zitakutokea puani.

Na kuwa makini na huyo kijana wa kumuita KENZY hana mapenzi ya dhati, pisi km ww sio ya kuitembeza juani…
 
Ushauri wa hovyo kabisa
 
🤣 kwa mvua hizi za upepo… hizo bajaji zako cku zitakutokea puani.

Na kuwa makini na huyo kijana wa kumuita KENZY hana mapenzi ya dhati, pisi km ww sio ya kuitembeza juani…
Mkuu naona sasa umeanza kutumia akili mnemba!.. nishakuambia mtongozo wangu juu ya coca haukuhusu kaa mbali utakuja kurogwa bure...🤣
 
Ni Tanzania peke mafanikio ni kuwa na Gari na kutumia usafiri wa uma ni jambo la aibu.

Mawazo ya mtoa mada
So kuwa na nyumba ndo mafanikio? 🤣 hii nchi hii… uhuru wa kumiliki ardhi ndo umetufikisha huku

Maana mtu anajiita ananyumba kumbe uhalisia n kwamba anasehemu y kuegesha mwili tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…