Hapa unanunua plot kama asset nadhani kwa jinsi lilivyo linatakiwa kushuka kisimame kituIlo pagale lina miaka mingapi tangu lijengwe?
Ni kweli lakini 40m ni parefu sana ....kwa mtazamo wangu hapo haitakiwi kuzid 15mHapa unanunua plot kama asset nadhani kwa jinsi lilivyo linatakiwa kushuka kisimame kitu
Kutoka tarehe 06 mpaka 15 sep imepungua 5m .... hapo december litakua limefika 10mWakuu bei imeshuka kwa sasa unaweza kuja kulipia Milioni 35 badala ya Milioni 40. Karibuni sana kiwanja hakina mgogoro wowote.
Nikukumbushe kitu kimoja hapo ni madale si mbagala mkuu.Ni kweli lakini 40m ni parefu sana ....kwa mtazamo wangu hapo haitakiwi kuzid 15m
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikifika 10m nitakushtua mkuu. Worry out.Kutoka tarehe 06 mpaka 15 sep imepungua 5m .... hapo december litakua limefika 10m
Sent using Jamii Forums mobile app