Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
- Chagua bidhaa unayohitaji

1. Angalia sehemu ya mawasiliano na mawasiliano yafanyike ukiweka wazi
- Idadi ya mzigo unayohitaji
- Mahali mzigo unapelekwa
- Njia ya usafirishaji unayotaka itumike kulingana na ukubwa wa mzigo
- Njia ya malipo utakayoitumia

2. Atakupatia Quotation kulingana na hayo mliyojadili, utaipitia, na iwapo utalizika basi atakupa Performa invoice {Manunuzi + Usafirishaji hadi mahala aulipo} tayari kwa wewe kulipia

3. Utafanya malipo husika - Zitumike njia za malipo zilizopo alibaba.

4. Utasubiria mzigo wako uweze kufika nchini

5. Baada ya mzigo kufika nchini, taratibu za clearance zitafuata.

6. Utawajibika kulipia kodi /vat iwapo utatakiwa kufanya hivyo na mamlaka husika

Mjadala zaidi hapa:
#1. Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

#2. Baada ya kuagiza bidhaa kwa kutumia Alibaba, Kodi na gharama za usafirishaji zipoje?
[emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Jr[emoji769]
 
[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540]
Habari?
Mkuu nifafanulie hii,huwa nahofia sana issue ya kodi,na usafiri.
Ambao sio register inakuwaje na mteja anaweza kujua kama ni register au la kabla ya kutuma?

Jr[emoji769]
 
Vipi kuhusu kufanya manunuzi jiji,is it safe?
Kama ushawahi kufanya naomba muongozo mkuu
 
Masada nahitaji kufanya Malipo alibaba lakini inashindikana
Nina salio la kutosha pia natumia Dtb prepaid master card
Ila bado nashindwa kufanya malipo
Screenshot_20210209-164841.jpg
 
Tumia masyrcard lakini ni lazima kwanza ufanye registration

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Maana nimewapigia benk zaidi ya mara 4 wananiambia hakuna shida yyt na hakuna Muamala wwt unaoanekana kufanyika kwenye card yangu
View attachment 1699058
 
Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDB
 
Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDB
Ndio imekamilika Kiongozi,
Alafu pia Hii Dtb prepaid Master Card ni Kwa ajili ya kufanya Malipo Mtandaoni Ipo special Kwa ajili ya Kazi hiyo lakini nashangaa why inagoma
Itabidi nitafute Card ya Equity naona wengi wanawasifia wapo vizuri kwenye kufanya Malipo online
 
Yaweza kuwa sababu pia
Supplier wangu anatoa huduma na hata wao Alibaba kipindi Una place order wanakukumbusha kuwasiliana na supplier wako Kama yupo kwenye vocation niliwasiliana nae kaniambia anapokea oda
Kuhusu sikukuu za mwaka mpya naona sio kikwazo coz ningeambiwa Malipo yanashindikana Kwa sababu hiyo Ila naambiwa tu payment unsuccessful
Nataka nijaribu na equity ikishindikna nakomaa na jamaa zangu wa K/koo mpk kieleweke [emoji23]
 
Back
Top Bottom