Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
- Chagua bidhaa unayohitaji
1. Angalia sehemu ya mawasiliano na mawasiliano yafanyike ukiweka wazi
- Idadi ya mzigo unayohitaji
- Mahali mzigo unapelekwa
- Njia ya usafirishaji unayotaka itumike kulingana na ukubwa wa mzigo
- Njia ya malipo utakayoitumia
2. Atakupatia Quotation kulingana na hayo mliyojadili, utaipitia, na iwapo utalizika basi atakupa Performa invoice {Manunuzi + Usafirishaji hadi mahala aulipo} tayari kwa wewe kulipia
3. Utafanya malipo husika - Zitumike njia za malipo zilizopo alibaba.
4. Utasubiria mzigo wako uweze kufika nchini
5. Baada ya mzigo kufika nchini, taratibu za clearance zitafuata.
6. Utawajibika kulipia kodi /vat iwapo utatakiwa kufanya hivyo na mamlaka husika
Mjadala zaidi hapa:
#1. Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja
#2. Baada ya kuagiza bidhaa kwa kutumia Alibaba, Kodi na gharama za usafirishaji zipoje?
[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540]TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI

Habari?
Mkuu nifafanulie hii,huwa nahofia sana issue ya kodi,na usafiri.
Ambao sio register inakuwaje na mteja anaweza kujua kama ni register au la kabla ya kutuma?
Hii mpk inanifikia dar jumla ya gharama zote itakua shingapi?150$ minimum order 5View attachment 1531497
Jiji unatakiwa uonane na muuzaji ndo ufanye malipo na mpaka uione bidhaa.jiji hawana plat phom ya.kulipia bidhaa automatic kupitia app.Vipi kuhusu kufanya manunuzi jiji,is it safe?
Kama ushawahi kufanya naomba muongozo mkuu
Very niceDownload app ya Aliexpress kisha takuelekeza
Jr[emoji769]
Wasiliana na seller akupe njia ya malipoMasada nahitaji kufanya Malipo alibaba lakini inashindikana
Nina salio la kutosha pia natumia Dtb prepaid master card
Ila bado nashindwa kufanya malipoView attachment 1698413
Ooh, sorry Kwani wewe ulitumia njia IPI kufanya Malipo I mean kadi ya benki gani?Wasiliana na seller akupe njia ya malipo
Tumia masyrcard lakini ni lazima kwanza ufanye registrationOoh, sorry Kwani wewe ulitumia njia IPI kufanya Malipo I mean kadi ya benki gani?
Ninayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Labda kwa sabubu ya Chinese New year!Ninayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Maana nimewapigia benk zaidi ya mara 4 wananiambia hakuna shida yyt na hakuna Muamala wwt unaoanekana kufanyika kwenye card yangu
View attachment 1699058
Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDBNinayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Maana nimewapigia benk zaidi ya mara 4 wananiambia hakuna shida yyt na hakuna Muamala wwt unaoanekana kufanyika kwenye card yangu
View attachment 1699058
Ndio imekamilika Kiongozi,Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDB
Supplier wangu anatoa huduma na hata wao Alibaba kipindi Una place order wanakukumbusha kuwasiliana na supplier wako Kama yupo kwenye vocation niliwasiliana nae kaniambia anapokea odaYaweza kuwa sababu pia