Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

[emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Jr[emoji769]
 
[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540]
Habari?
Mkuu nifafanulie hii,huwa nahofia sana issue ya kodi,na usafiri.
Ambao sio register inakuwaje na mteja anaweza kujua kama ni register au la kabla ya kutuma?

Jr[emoji769]
 
Vipi kuhusu kufanya manunuzi jiji,is it safe?
Kama ushawahi kufanya naomba muongozo mkuu
 
Tumia masyrcard lakini ni lazima kwanza ufanye registration

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Maana nimewapigia benk zaidi ya mara 4 wananiambia hakuna shida yyt na hakuna Muamala wwt unaoanekana kufanyika kwenye card yangu
View attachment 1699058
 
Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDB
 
Na registration ilikamilika? Kwakuwa sometimes mpaka uende bank. wakaruhusu registration..last time ilibidi mpaka nifunge safari mpaka CRDB
Ndio imekamilika Kiongozi,
Alafu pia Hii Dtb prepaid Master Card ni Kwa ajili ya kufanya Malipo Mtandaoni Ipo special Kwa ajili ya Kazi hiyo lakini nashangaa why inagoma
Itabidi nitafute Card ya Equity naona wengi wanawasifia wapo vizuri kwenye kufanya Malipo online
 
Yaweza kuwa sababu pia
Supplier wangu anatoa huduma na hata wao Alibaba kipindi Una place order wanakukumbusha kuwasiliana na supplier wako Kama yupo kwenye vocation niliwasiliana nae kaniambia anapokea oda
Kuhusu sikukuu za mwaka mpya naona sio kikwazo coz ningeambiwa Malipo yanashindikana Kwa sababu hiyo Ila naambiwa tu payment unsuccessful
Nataka nijaribu na equity ikishindikna nakomaa na jamaa zangu wa K/koo mpk kieleweke [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…