Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #121
Be I kikomo ndio halisiMkuu mshana ,si unaona hicho kiatu Sasa hiyo Bei USD 11.53-17.57 hapo nafwata Bei gani ?View attachment 1522681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be I kikomo ndio halisiMkuu mshana ,si unaona hicho kiatu Sasa hiyo Bei USD 11.53-17.57 hapo nafwata Bei gani ?View attachment 1522681
Haya nayo yanapatikana Ali Express?
Tuma linkIngieni xiaomi users Tz group iko telegram tumejadili mengisana kuhusu online purchase
Ingieni xiaomi users Tz group iko telegram tumejadili mengisana kuhusu online purchase
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee kichwa kibovu kweli ..nitakuwekea unachotaka
Wanapokea kupitia smart card yako
Tatizo wapigaji wapo wengi sana mkuu.Hakuna mtandao mzuri duniani kama amazon.com sema wao hawawezi kuandika bei ndogo kwenye stakabadhi ili usipigwe na TRA
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya ndo mambo..
Ila wakumbushe kabla hawajanunua wawe wanasoma maelezo ya kitu vizuri mtu asijenunua kitu used akaanza lalamika.. Tena wakumbushe wawe wanachat na muuzaji akiona hajaelewa au anahitaji maelezo ya kutosha..
Maana unaweza agiza kava la simu badala ya simu..[emoji28]