Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

Mtani nijibu vizuri bado sijaelewa au niagizie wewe hiyo safety shoes nikulipe tsh ngapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba mniwie radhi nilipata dharura ya msiba lakini tumemaliza salama na nimerejea.

Tofauti ya registered parcel na unregistered unregistered ni thamani ya mzigo
Muuzaji ili kuepuka hasara ya kulipa pindi mzigo ukipotea basi huamua kuuandikisha na kulipa kodi zote muhimu ili iwe ni rahisi kuufiatilia popote duniani (tracking)

Hivyo basi vifurushi vya pesa kubwa huwa registered na vile vya pesa kidogo hupotezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…