Wewe sikia japokuwa sihusiki ila ungepita kushoto kama sio mnunuaji unakaa unangenga tu ujinga wako yawezekana ukawa unakaa kwenye nyumba ya tope halafu huku jf unajitamba mtu akiihitaji anainunua thn anaiboresha shida iko wapiHilo ni gofu sio nyumba, bei uliyo anzia sio ,inakatisha tamaa
Ningependa kuiona nyumba yako ya tope na kitanda chako cha teremka tukaze na kochi lako la msengere yani watu wengine nashindwa kuwaelewa if huhitaji siupite kwani lazima uchafue uzi wa mwenzako......Mbona hilo ghofu halifanani na mkuu wa mkoa wala bei uliyoitaja?
Unapajua MKOANI? Na istoshe kuna NYUMBA Hapo!Kwa kibaha kiwanja cha 20 by 30 hakijafika bei hiyo
Hahaaa.Bomoa bomoa hapo itapaa juu nn
Mkuu soma umeshawahi kufika eneo hilo au unafurahisha watu kwani kwa mkuu wa mkoa watu wengine ndo hapaswi kuishi au kunatakiwa kuwe na maghorofa tuh boss kama unaona hauwezi kufanya biashara unaweza ukasoma na kuachana na huu uzi.Yep! Kasema nyumba iko mtaa mmoja na mkuu wa mkoa. Ndio namuuliza mbona hiyo nyumba haifanani na huo mtaa?
Asante kwa kunielewa maana watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo sana kweli mentality za wabongo zipo affected na kutawaliwa sijui maana mtu hawezi kusema hiyo nyumba haiwezi kuwa kwa mkuu wa mkoa kwa yeye si ni kiongozi tuh na sisi ni raia wa kawaida kwa nini tusiweze kuishi pamoja.Oyaaaaaa
Hajaandika neno mtaa.. ni area inaitwa hivyo. Hata kama angetujulisha ni mtaa mmoja wote ni wananchi.
Bai bai
Kuuzwa na serikali siyo tijaSio kweli boss huoni kama barabara ishapita hapo au unadhani itapita mara ya pili halafu hata hivyo yani hivyo viwanja viliuzwa na serikali yenyewe kama ingekuwa ni ya kubomolewa ingebomolewa tangu awali.
Chache sanaa mkuu kwa hiyo nyumba, mbona unatupa nyumba kwa bei chee hivyo? Hiyo white house a. k. a kalenga house ya kibaha aliishi chief Magungo wa Msovero, kisha ww uize 50m, yan 50m?? Ongeza beiKwani we unaionaje?