House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

Hilo ni gofu sio nyumba, bei uliyo anzia sio ,inakatisha tamaa
Wewe sikia japokuwa sihusiki ila ungepita kushoto kama sio mnunuaji unakaa unangenga tu ujinga wako yawezekana ukawa unakaa kwenye nyumba ya tope halafu huku jf unajitamba mtu akiihitaji anainunua thn anaiboresha shida iko wapi
 
Mbona hilo ghofu halifanani na mkuu wa mkoa wala bei uliyoitaja?
Ningependa kuiona nyumba yako ya tope na kitanda chako cha teremka tukaze na kochi lako la msengere yani watu wengine nashindwa kuwaelewa if huhitaji siupite kwani lazima uchafue uzi wa mwenzako......
 
mtu mzima anataka kupigwa hapa hahahahahahahahah 😀😀😛😛
 
Mjini tu hapa now days unapata nyumba kwa 50m. Yanini kibaha tena gofu
 
Alikuwa Anakimbizwa Huyo Mzee?🤣
Hatua Namna Hiyo Akimpimia Mtu Shamba Hekta Moja Unaondoka
 
Yep! Kasema nyumba iko mtaa mmoja na mkuu wa mkoa. Ndio namuuliza mbona hiyo nyumba haifanani na huo mtaa?
Mkuu soma umeshawahi kufika eneo hilo au unafurahisha watu kwani kwa mkuu wa mkoa watu wengine ndo hapaswi kuishi au kunatakiwa kuwe na maghorofa tuh boss kama unaona hauwezi kufanya biashara unaweza ukasoma na kuachana na huu uzi.
 
Soon bomoabomoa linapita hapo
Sio kweli boss huoni kama barabara ishapita hapo au unadhani itapita mara ya pili halafu hata hivyo yani hivyo viwanja viliuzwa na serikali yenyewe kama ingekuwa ni ya kubomolewa ingebomolewa tangu awali.
 
Oyaaaaaa
Hajaandika neno mtaa.. ni area inaitwa hivyo. Hata kama angetujulisha ni mtaa mmoja wote ni wananchi.

Bai bai
Asante kwa kunielewa maana watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo sana kweli mentality za wabongo zipo affected na kutawaliwa sijui maana mtu hawezi kusema hiyo nyumba haiwezi kuwa kwa mkuu wa mkoa kwa yeye si ni kiongozi tuh na sisi ni raia wa kawaida kwa nini tusiweze kuishi pamoja.
 
Sio kweli boss huoni kama barabara ishapita hapo au unadhani itapita mara ya pili halafu hata hivyo yani hivyo viwanja viliuzwa na serikali yenyewe kama ingekuwa ni ya kubomolewa ingebomolewa tangu awali.
Kuuzwa na serikali siyo tija
Wangapi wanapimiwa na serikali na bado wanabomolewa?

HIYO NI HIFADHI YA BARABARA
 
Kwani we unaionaje?
Chache sanaa mkuu kwa hiyo nyumba, mbona unatupa nyumba kwa bei chee hivyo? Hiyo white house a. k. a kalenga house ya kibaha aliishi chief Magungo wa Msovero, kisha ww uize 50m, yan 50m?? Ongeza bei
 
Back
Top Bottom