Masikini Tanzania
John Mrema?Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati ya 51 zilizopigwa, huku kura moja ikiharibika, hivyo kumpa ushindi wa kishindo katika nafasi hiyo muhimu ya uongozi.
Katika uchaguzi huo huo, John Mrema alichaguliwa kuwa Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata asilimia 96 ya kura, sawa na kura 49 kati ya 51, huku kura moja ikiharibika.
Kikao hicho kimeashiria rasmi kuanza kwa majukumu ya viongozi hao wapya katika kuongoza na kusimamia maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.
Pia Soma: Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR
Unga. Yani utawala huu tutayaona mengi haki ya Mungu.Mwenye Cv's yake aweke hapa
Alisoma Nursery, akaenda Primary, akapitia O level na mwisho aka graduate chuo cha Uchawa.Mwenye Cv's yake aweke hapa
Hiyo ndio elimu ya hapa na paleAlisoma Nursery, akaenda Primary, akapitia O level na mwisho aka graduate chuo cha Uchawa.
Elimu za viongozi wa awamu hii zina sadifu elimu ya kiongozi wao mkuu.
Uchawa unalipa kuliko elimuDiwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati ya 51 zilizopigwa, huku kura moja ikiharibika, hivyo kumpa ushindi wa kishindo katika nafasi hiyo muhimu ya uongozi.
Katika uchaguzi huo huo, John Mrema alichaguliwa kuwa Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata asilimia 96 ya kura, sawa na kura 49 kati ya 51, huku kura moja ikiharibika.
Kikao hicho kimeashiria rasmi kuanza kwa majukumu ya viongozi hao wapya katika kuongoza na kusimamia maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.
Pia Soma: Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR
Bora huyu mara elfu kuliko yule kumbi la baridi sijui kumbilamotoMasikini Tanzania
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati ya 51 zilizopigwa, huku kura moja ikiharibika, hivyo kumpa ushindi wa kishindo katika nafasi hiyo muhimu ya uongozi.
Katika uchaguzi huo huo, John Mrema alichaguliwa kuwa Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kupata asilimia 96 ya kura, sawa na kura 49 kati ya 51, huku kura moja ikiharibika.
Kikao hicho kimeashiria rasmi kuanza kwa majukumu ya viongozi hao wapya katika kuongoza na kusimamia maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam.
Pia Soma: Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR
Sikusoma sana, niliishia kidato cha nneMwenye Cv's yake aweke hapa