Asante kwa kutukumbusha kuhusu historia hiyo. Ila ina mapemgo kidogo. Si Marekani na Uingereza pekee walioianzisha mahakama ya Nuremberg. Tangu uvamizi wa POland ilikuwa dhahiri kwamba serikali ya Ujerumani ililenga makundi mbalimbali ya watu kwa shabaha ya kuwaangamiza (mwanzoni kabisa Wasomi Wapoland waliokamatwa, wengi kuuawa tu). Tangu 1941 (uvamizi wa Urusi) taarifa zilifika kwamba vikosi maalum ya Kijerumani vilianza kuua Wayahudi kwa malakhi. Hadi 1942 taarifa za kwanza zilifika nje kuhusu makambi ya mauti.
"In November 1943, the Soviet Union, the United Kingdom, and the United States published their
"Declaration on German Atrocities in Occupied Europe", which gave a "full warning" that, when the Nazis were defeated, the Allies would "pursue them to the uttermost ends of the earth ... so that justice may be done. ... The above declaration is without prejudice to the case of the major war criminals whose offenses have no particular geographical location and who will be punished by a joint decision of the Government of the Allies."
[5] This intention by the Allies to dispense justice was reiterated at the
Yalta Conference and at
Potsdam in 1945.
[6] "
Hawakulenga kuua Manazi wote lakini walitafuta wale waliokuwa na wajibu na uongozi.
" In late 1943, during the Dinner Meeting at the
Tehran Conference, the Soviet leader,
Joseph Stalin, proposed executing 50,000–100,000 German staff officers.
US President Franklin D. Roosevelt joked that perhaps 49,000 would do. British Prime Minister Churchill, believing them to be serious, denounced the idea of "the cold-blooded execution of soldiers who fought for their country" and that he would rather be "taken out in the courtyard and shot" himself than partake in any such action.
[8] "
Nuremberg penyewe ni 12 tu waliohukumiwa kunyongwa, 7 walitupwa jela, 3 waliachishwa.
Wajerumani wachache waliokamatwa penginepo walihukumiwa pale Poland, Urusi na Chekoslovakia na kunyongwa pale.