Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
pengine labda sijaisoma vizuri biblia na kuielewa na ndio maana nimekuja hapa kuuliza wabobezicwa mambo haya ya 'elimu ya Uungu' kuwa
maji, giza, Nuru, na upepo viliumbwa siku gani kati ya zile sita za uumbaji?
maswali ya nyongeza juu ya utata wa tukio la safina ya nuhu
"Hivi ndivyo utakavyoifanya; mikono mia tatu urefu wa safina, mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake."
swali binadamu karibia wote (sio wote) walioonekana kumchukiza Mungu juu ya uso wa dunia/nchi wangeamua kuingia safinani wangetosha?
hivyo ni vipimo vya safina
katika mwanzo 6 msitari wa tano anasema "5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote."
ktk msitari wa saba anasema
7 Bwana akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya.
swali ilikua nchi au dunia?
kama ilikuwa nchi kwann mafundisho yaoneshe dunia iligharikishwa?
kama ilikuwa dunia watu waliwasiliana kwa lugha ipi kutoka kizazi cha nuhu mpaka kwingineko duniani?
kama ilikuwa nchi na sio dunia ni vizazi gani vingine vilisalimika tofauti na kizazi cha nuhu? hapa nahitaji kabisa kuwa taja wafuatao juu ya hili swali la mwisho
zitto junior
mitale na midimu