Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
- Thread starter
- #41
zitto junior hebu sema kitu juu ya fungu hilo hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upuuzi haukuishia hapo tu,soma hapa wanavyojaribu kujustify/kupromote utumwahuu utata nwingine sikuwahi kuufikiria kabisa
Duh jambo jipya hili mkuu sikuwahi lisikia kwakweli theory ni nyingi siku ushushe hiyo nondo tujadili kwa mapana humu maana JF haikosagi majibu.Nimekuwa nakutana sana na baadhi ya vitabu vikisema mungu hakuumba ulimwengu bali ni msaidizi wake na pia mungu alimsaidia tu kuweka mwanga na mapokeo mazuri ya uelewano wao ndipo kile kikao cha kuumba mwanadamu kwa mfano wao kikawepo na hapo ndipo shetani akataka kumpa pumzi mwanadamu ila mungu akakataa kwa kuwa aliona dhamira ya wivu na chuki kwa Shetani na hapo ndipo ugomvi wao ulipoanzia rasmi
Je nawe umewah kukutana nalo ili siku moja tulijadili hapa?!
Mkuu hilo swali la nyabhingi msomi Son of Gamba alisema ni kweli hiyo kitu ipo na ataleta majibu ya uzi maalum hivyo nisiwahi chakula kabla hakijaivishwa..... Soon atakuja na nondo zake atalijibu hilo otherwise na mmi nimeandaa uzi kuhusu utata na kukinzana kwa biblia umeshiba haswaa nafikiri huko ndipo majibu yote yatapatikanazitto junior hebu sema kitu juu ya fungu hilo hapo juu
tunaweza kuhitimisha kuwa giza sio kitu halisi na hivyo hakikuumbwa?
kwanza shukrani kwa kujibuMkuu hilo swali la nyabhingi msomi Son of Gamba alisema ni kweli hiyo kitu ipo na ataleta majibu ya uzi maalum hivyo nisiwahi chakula kabla hakijaivishwa..... Soon atakuja na nondo zake atalijibu hilo otherwise na mmi nimeandaa uzi kuhusu utata na kukinzana kwa biblia umeshiba haswaa nafikiri huko ndipo majibu yote yatapatikana
Tuombeane uzima
nimekupata mkuuUnaweza kusema hivyo kama ukitoka nje ya mawazo ya vitabu vya dini...
Mfano: hakuna(giza) na kuna(Nuru)...
Unaposema hakuna,maana ni hakuna chochote, ukosefu... hakuna haitengenezwi na chochote ni hakuna tuu, empty... hakuna cha kuelezea...
Unaposema kuna(Nuru), kuna kitu, hiko kitu kina chanzo hicho chanzo kitakua na maelezo...
Giza lipo, lilikuwepo lakini halina maelezo. Huwezi kutengeneza giza, bali unawze kuondoa chanzo cha nishati mwanga (nuru) ili giza lichukue nafasi yake...
Cc: mahondaw
Jamani eeeenh nanyoosha tena mkono... Naombeni majibu au mpaka niwape mjiiii....Naomba unijibu haya maswali mawili.
1) Baada ya gharika kuisha meli /safina ilituama kwenye mlima gani na huo mlima upo mpaka leo!!??
2) Hiyo gharika ilifunika ardhi yote unataka kusema ilifunika mlima Everest, mlima Kilimanjaro na mengine mirefu kuliko iliyopo uyahudini!!??
1. Safina ilitua mlima ararat huko uturuki/Armenia ya sasa na eneo hilo lipo hadi leo ingawa bado hakuna ushahidi wa kutosha ya uwepo wa safina hyo ingawa wanadai walikuta miti mirefu na mbao imejichimbia eneo hiloJamani eeeenh nanyoosha tena mkono... Naombeni majibu au mpaka niwape mjiiii....
Inakuwaje ifunike milima yote halafu utue kwenye mlima mfupi wa Ararat au ndio ulikuwa mrefu ila umeliwa na mmomonyoko wa udongo eti....1. Safina ilitua mlima ararat huko uturuki/Armenia ya sasa na eneo hilo lipo hadi leo ingawa bado hakuna ushahidi wa kutosha ya uwepo wa safina hyo ingawa wanadai walikuta miti mirefu na mbao imejichimbia eneo hilo
2.Biblia inasema milima yote mirefu ilifunikwa kwa mikono 15 juu....
Mwanzo 7
19 Maji yakapata nguvu sana sana juu ya nchi; na milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikizwa.
20 Maji yakapata nguvu, hata ikafunikwa milima kiasi cha mikono kumi na mitano
Hivyo sijui kma Mlima kilimanjaro ulifunikwa ila biblia inadai milima YOTE MIREFU ilifunikwa na maji
Ni hayo tu
Mvua ilipoisha ndio safina ikawa imekwamia hapo...... Ila wakati wa mafuriko hata huo Ararat ulikuwa umefunikwa na maji hyo ni kutokana na bibliaInakuwaje ifunike milima yote halafu utue kwenye mlima mfupi wa Ararat au ndio ulikuwa mrefu ila umeliwa na mmomonyoko wa udongo eti....
sio kweli
maji yalifunika futi 21
unaujua urefu wa mlima kilimanjaro?
duniani kuna species takribani milioni 4 au zaidi za wanyama,kwa safina inayoelezewa kwenye biblia hata robo hawawezi kuenea
unamuwekaje simba na mbuzi halafu simba asimle mbuzi!!!
biblia ni kitabu kilichojaa vichekesho
kwa mujibu wa biblia adam na eva(ambao wanadai ni binadamu wa kwanza) waliumbwa si zaidi ya miaka 4000 iliyopita,..iweje mlima kilimanjaro usiwepo!!!!
Mpe mistari kabisa huenda asikueleweMkuu sio kweli kama hujailewa vizuri Bible mi nahisi kama hujaisoma kabisa maana majibu ya hayo maswali yako ya mwanzo yapo wazi kabisa
Mkuu zitto junior umemjibu vyema sana isipokuwa hapa kwenye hili swali lake la 3 kuna kitu nataka nifafanue kidogo. Neno "nchi" ni tafsiri ya neno "Earth" au "Land", waliotafsiri Biblia ya Kiswahili waliitafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiingereza. Hivyo neno Earth au Land likatafsiriwa kama "nchi" kwa Kiswahili.3.swali ilikua nchi au dunia?
kama ilikuwa nchi kwann mafundisho yaoneshe dunia iligharikishwa