Nuru, maji, giza, upepo viliumbwa siku gani kati ya zile sita za uumbaji?

lkn babu-humu tunajifunza tu,au kuna ubaya wowote kuyajua??
 
Giza ni matokea ya ukosefu wa mwanga(Nuru), Na mwanga(Nuru) lazima kuwe na source ya uwepo wake.

Giza lipo kabla hata ya uwepo wa dunia... ndiyo maana ukitoka nje ya duni kulipokua hakuna source ya mwanga ni giza maisha yote...


Cc: mahondaw
 
lkn babu-humu tunajifunza tu,au kuna ubaya wowote kuyajua??
Ahaaa bwana peter kumbe uko uku [emoji16][emoji16][emoji16] akuna ubaya kujifunza mana tunapojfunza nadhan ndy nidhamu tutakuwa nayo juu yke lkn tyr hili nimeshaliweka wazi kwmba simulz tofaut na mwanzo wa uhalisia mungu alianza story kw kusema neno hapo mwanzo kwkumaansha mwanzo wa simuliz hii ilianzia kw kuumba vtu kw muda wa siku sab lkn hsimaansh kila ktu kilichokuwepo amekizungumzia ila chcht unachokiona kimezungumzia na kusimuliwa na mungu ujue kina faida zake kwetu ss viumbe na ipo haja y kuvjua hvyo ambvyo unahs hajavzungumzia ipo sabb kwnn hajatusimulia..swali pls kwa muongozo zaidi
 
Hawatopata majibu sahihi never ila assumption watazisikia skia tu mwenye imani haba hujiaminisha na assumption ambazo hata hazionekani na ndipo dunia inazd kupotea
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nipo rafk yang_nashukuru kwa maelezo mazuri,tuko pamoja ndg
 
Giza ni matokea ya ukosefu wa mwanga(Nuru), Na mwanga(Nuru) lazima kuwe na source ya uwepo wake.

Giza lipo kabla hata ya uwepo wa dunia... ndiyo maana ukitoka nje ya duni kulipokua hakuna source ya mwanga ni giza maisha yote...


Cc: mahondaw
tunaweza kuhitimisha kuwa giza sio kitu halisi na hivyo hakikuumbwa?
 
tunaweza kuhitimisha kuwa giza sio kitu halisi na hivyo hakikuumbwa?
Ukisema uhitimishe kwmba giza siktu halis kwmaan hyo hakikuumba tfsr yke mungu mwenyew hawez kuumba kiza?huu ni uwongo man kuna vtu vngap vkubwa mfan wagza na havkutajwa lkn vimeumbwa?.ntakup mfan mdg kuna ktu knaitwa arshih yan ni ile sehemu sahh ambyo mungu yupo mm naww hatuijui lkn ipo na imeumbwa seuze kiza
 

Nimekuwa nakutana sana na baadhi ya vitabu vikisema mungu hakuumba ulimwengu bali ni msaidizi wake na pia mungu alimsaidia tu kuweka mwanga na mapokeo mazuri ya uelewano wao ndipo kile kikao cha kuumba mwanadamu kwa mfano wao kikawepo na hapo ndipo shetani akataka kumpa pumzi mwanadamu ila mungu akakataa kwa kuwa aliona dhamira ya wivu na chuki kwa Shetani na hapo ndipo ugomvi wao ulipoanzia rasmi
Je nawe umewah kukutana nalo ili siku moja tulijadili hapa?!
 
nakukumbuka sana ndg yang,kule chimbo si unatumia jina "maqcy"?,hata humu nilivyoona ume_coment kule juu,nilikugundua haraka sana,usijal rafk tupo kupata elimu tofaut tofaut.
Yeah bnafs naenjoy na tunaongeza vtu unajua uzur wa elimu kitu kiwe kweli ama uongo bs must kitakufunza na kurutubisha ubongo wko uzd kufkria mbaali zaidi,
 
Kwa binafsi naamini ni inchi siyo dunia na sehemu zilizokumbwa na gharika mpaka leo zimezama baharini garika ilitokea bara la Atlantis na likatoweka huu nd
afu unisaidie ilikua nchi au dunia iliyogjarikishwa?
Kwa binafsi naamini ni inchi siyo dunia na sehemu zilizokumbwa na gharika mpaka leo zimezama baharini garika ilitokea bara la Atlantis na likatoweka mpaka leo limezama baharini
 
Tumemaliza kila kitu hapa sina la kuongeza... Nipende tu kusema kitabu cha mwanzo kina kila kitu kinachohitaj mijadala ya kila aina... kuanzia mijadala ya wazi.... Ya moja kwa moja mpaka ile tata isiyo na majibu ya kukidhi kiu ya wengi
 
sante kwa kuja na idea mpya. Huwa naona documentary tofautitofauti kwa walie ma diver wapo wanaosema kuna miji ya kihistoria imo chini/ndani ya bahari ngoja tuendelee kujifunza
 
Wanaposema Nchi hapo kwenye biblia inamaana ya ardhi, haimaanishi nchi kama Tz ama Uk, Gharika liliifunika nchi kumaanisha sehemu yote ya ardhi
sio kweli
maji yalifunika futi 21
unaujua urefu wa mlima kilimanjaro?
duniani kuna species takribani milioni 4 au zaidi za wanyama,kwa safina inayoelezewa kwenye biblia hata robo hawawezi kuenea
unamuwekaje simba na mbuzi halafu simba asimle mbuzi!!!
biblia ni kitabu kilichojaa vichekesho
 
aisee
 
kwa maana hiyo tukichukua aina za ndege warukao tu kwa species zao na wadudu kwa aina zake huwenda safina ingejaa? hapo tutoe wanyama wawili wawili kwa aina zao kweli hapa panazua swali jingine
 
kwa maana hiyo tukichukua aina za ndege warukao tu kwa species zao na wadudu kwa aina zake huwenda sagina ingejaa? hapo tutoe wanyama wawili wawili kwa aina zao kweli hapa panazua swali jingine
unajua wanaoamini drama za kwenye biblia ni wale wafia dini ya wazungu/waarabu bila kujiuliza logic ya vitu vilivyoandikwa kwenye hivyo vitabu
mambo mengi mle kama sio yote haya-make sense
 
niambie hapa kama kuna logic ya maana au tu mwandishi alijichanganya kwenye utunzi wake

Matthew 16:28 King James Version (KJV)

28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.
 
huu utata nwingine sikuwahi kuufikiria kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…