Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Hata mimi nimesikitishwa na hiki alichofanya kocha!
 
utabiri wangu kuhusu morrison umeenda straight, sasa mliokua mnamfanyia comparison na wachezaji wa simba nadhani majibu mshayapata
Una jua goli la free kick ambayo siyo movie lilimpa sana kichwa, lakini kwa kufight, Morrison ni mweupe, na afadhali ya Molinga. Goli la free kick lilimpa sifa ambazo hakustahili. Sasa leo kiko wapi? Ni afadhali wasingepiga kelele pengine tusingekaza, sasa wanabaki na mechi za mchangani tu. Aibu sana hii
 
Hahah eti wakajidai wamepanda costa chura bana kikundi cha kwaya ndio hupanda costa,
Morrison na shishi baby hawapo fit ila kocha amekariri mchezo kapata aibu na wakae kimya kabisa 4-1 ni ushindi mkubwa sana ***** zao
 
Utopilo karibuni
 

Attachments

  • VID-20200712-WA0015.mp4
    351.2 KB
  • VID-20200712-WA0014.mp4
    12.4 MB
  • IMG-20200712-WA0012.jpg
    38 KB · Views: 1
  • IMG-20200712-WA0011.jpg
    49.9 KB · Views: 1
  • IMG-20200712-WA0006.jpg
    70.5 KB · Views: 1
  • IMG-20200712-WA0005.jpg
    31.3 KB · Views: 1
  • IMG-20200712-WA0004.jpg
    46.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…