Hata mimi nimesikitishwa na hiki alichofanya kocha!Huyu kocha wa Yanga anaumwa ugonjwa wa kukariri,Karudia mfumo na wachezaji karibia wote waliocheza derby iliyopita.
Kulikuwa na maana gani ya Tshimbi kuanza mtu tangia mwezi wa tatu hajacheza game yoyote.Simba wangekuwa makini na goli Yanga angekufa hata sita.