Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
SawaSimba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSimba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.
45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
Simba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.
duuuuuuh kuna watu wachawi humu45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
Wewe unaujua mpira mkuu, nilipomuona Makapu beki 4 nikawaambia jirani zangu mmepigwaHuwezi kumweka benchi beki yondani ajuae nini maana ya Derby,nchimbi mkimbiza upepo nje eti,makapu n.k yaani kocha amefanya fyongo na kuwapa vichwa mikia hawa walikuwa hawatoki pale .hongera zao mmerudisha cha tarehe 8
Dah!mie ile mechi sitaki yoyote ashinde wala adraw
Hakuna jipya chini ya jua, maana yote hayo ni marudio tuIla kichapo chake si mmekiona.
Mbona wengi demu mwenyewe mmoja?
Kazingua aisee.shiship leo hakuwa na fitness kabisaHuyu kocha wa Yanga anaumwa ugonjwa wa kukariri,Karudia mfumo na wachezaji karibia wote waliocheza derby iliyopita.
Kulikuwa na maana gani ya Tshimbi kuanza mtu tangia mwezi wa tatu hajacheza game yoyote.Simba wangekuwa makini na goli Yanga angekufa hata sita.