Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

.
tapatalk_1594221476031.jpg
 
Huwezi kumweka benchi beki yondani ajuae nini maana ya Derby,nchimbi mkimbiza upepo nje eti,makapu n.k yaani kocha amefanya fyongo na kuwapa vichwa mikia hawa walikuwa hawatoki pale .hongera zao mmerudisha cha tarehe 8
Wewe unaujua mpira mkuu, nilipomuona Makapu beki 4 nikawaambia jirani zangu mmepigwa
 
Huyu kocha wa Yanga anaumwa ugonjwa wa kukariri,Karudia mfumo na wachezaji karibia wote waliocheza derby iliyopita.

Kulikuwa na maana gani ya Tshimbi kuanza mtu tangia mwezi wa tatu hajacheza game yoyote.Simba wangekuwa makini na goli Yanga angekufa hata sita.
 
Kazingua aisee.shiship leo hakuwa na fitness kabisa
 
Back
Top Bottom