Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Yeah! Ni ndoto tu ukistuka usingizini au ukiamka utagundua ni ndoto tu. Usicheze na sharubu za MNYAMA atakurarua kwa HASIRA.
😜😜😜
😀😀😀
Sawa bwana😣
 
Kufungwa tulistahili tena hizo nne ni chache.

Kosa la kwanza kumuanzisha na kumlazimisha mchezaji ambaye majeruhi na hana mechi fitness Shishimbi (siwezi mlaumu Shishimbi?.

Pili beki za kati hazikuelewana japokuwa Lamine alicheza vizuri ila mwenzake hakuwa vizuri.

Yote tisa kumi beki tatu ilikuwa hovyo kwa kifupi yule jamaa wa Msumbiji alikuwa anatupiga goli tatu za wazi na kama Dilunga angeacha ubinafsi yule Mmakonde alikuwa anapiga msumari wa tano.

For me kocha alizingua na hakuwa na game plan nzuri,tulikuwa tunachezea 7.

Yote kwa yote HONGERA SIMBA,wana Yanga ndio mpira huu tukajipangeni upya.
Wewe ndio umeongea sasa jafary leo hakuwa vzr,Papy hakuwa vzr na kingine kwenda kutuwekea molinga kule mbele hafanyi chochote kakaa tu in short Yanga tulicheza pungufu!
 
Wewe ndio umeongea sasa jafary leo hakuwa vzr,Papy hakuwa vzr na kingine kwenda kutuwekea molinga kule mbele hafanyi chochote kakaa tu in short Yanga tulicheza pungufu!
hizi ni hallucinations tu kikosi kilikua full sema yule dansa wenu leo hakupata opportunity ya kupanda mpira

BTW unalizungmziaje goli la kagere?
 
Back
Top Bottom