Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Bado siamini yanga tumefungwa😥
Nifanyaje ili uamini mmefungwa?ğŸ¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado siamini yanga tumefungwa😥
Niache tu niugulie.Nifanyaje ili uamini mmefungwa?ğŸ¤
Vipi bado uko uwanjani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Napita naelekea uwanjani. Yanga daima.View attachment 1504549
Bado siamini yanga tumefungwa😥
Nifanyaje ili uamini mmefungwa?ğŸ¤
😀😀😀Yeah! Ni ndoto tu ukistuka usingizini au ukiamka utagundua ni ndoto tu. Usicheze na sharubu za MNYAMA atakurarua kwa HASIRA.
😜😜😜
Hahaha, ngoja niende kuweka kambi jukwaa la Arsenal.
Mkuu umetisha45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
Wewe ndio umeongea sasa jafary leo hakuwa vzr,Papy hakuwa vzr na kingine kwenda kutuwekea molinga kule mbele hafanyi chochote kakaa tu in short Yanga tulicheza pungufu!Kufungwa tulistahili tena hizo nne ni chache.
Kosa la kwanza kumuanzisha na kumlazimisha mchezaji ambaye majeruhi na hana mechi fitness Shishimbi (siwezi mlaumu Shishimbi?.
Pili beki za kati hazikuelewana japokuwa Lamine alicheza vizuri ila mwenzake hakuwa vizuri.
Yote tisa kumi beki tatu ilikuwa hovyo kwa kifupi yule jamaa wa Msumbiji alikuwa anatupiga goli tatu za wazi na kama Dilunga angeacha ubinafsi yule Mmakonde alikuwa anapiga msumari wa tano.
For me kocha alizingua na hakuwa na game plan nzuri,tulikuwa tunachezea 7.
Yote kwa yote HONGERA SIMBA,wana Yanga ndio mpira huu tukajipangeni upya.
Nne kwa kiarabu inaitwaje wakuu
Ha ha ha ha pole sana mkuuKwa kweli tumechakazwa
hahhahah shukrani chifuMkuu umetisha
Kwa kweli tumechakazwa
hizi ni hallucinations tu kikosi kilikua full sema yule dansa wenu leo hakupata opportunity ya kupanda mpiraWewe ndio umeongea sasa jafary leo hakuwa vzr,Papy hakuwa vzr na kingine kwenda kutuwekea molinga kule mbele hafanyi chochote kakaa tu in short Yanga tulicheza pungufu!