Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Sema mmetubahatisha tu. 😎😎

Japo yule kocha naye sijui alitumia nini kupanga ile first eleven. Yaani ilikuwa hovyo kabisa. 😔
Ndio yale ya chakula kikiwa kitamu unasifiwa mchele, ikiwa kinyume chake haulaumiwi mchele analaumiwa mpishi!

Yaani kutoa sifa kwa Lunyasi kuwa soka lao ni la hali ya juu sana unaona kama watolewa roho vile🤣🤣🤣. Hata angepanga kikosi gani kupapaswa jana ilikua lazima
 
Hahahahaaa. Kama nawaona mtakavyokuwa mnatupigia hizo kelele.

Ila asiyekubali kushindwa si mshindani. Jana soka nimeliona.
Hiyo para ya pili hiyo nimeilewa Shadeeya. Hiyo ni kauli ya kiungwana kabisa. Umekua sasa mamii, naomba upite kwenye supu nakuja kulipa😀😀😀🤪🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…