Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

kwa waliokua hawajui basi leo ndio watashuhudia kua morison ha-deserve kua hata kikosi B pale simba

dili linavurugika leo

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we jamaa bwana
 
Yaani Jana Nilikua Nakutamni Nakutamni Ila Nilikua Bizee Na Furaha Ya Ushindi Wa Mwaka Jana.

Ila Mtani Poleni Sana Na Hongereni Sana Vyamchangani Vinawahusu.
Mtani halafu sijui jana ikawaje mana tiketi nilikuwa nayo lakini imefika mida ya saa sita mchana nafsi ikakataa kabisa kujiandaa kwenda Taifa.

Nilichofanya nikapanda kitandani kulala kumbe lait ningeenda ningerudi na majonzi makubwa.
 
Yaani Jana Nilikua Nakutamni Nakutamni Ila Nilikua Bizee Na Furaha Ya Ushindi Wa Mwaka Jana.

Ila Mtani Poleni Sana Na Hongereni Sana Vyamchangani Vinawahusu.
Ahsante Mtani nshapoa bana.

Yaani hapa najiandaa tu kushangilia timu za nje Champions league ikianza. 😂😂😂
 
Timu yetu haina ubovu wa kufungwa goli zote zile bana.

Nadhani kocha tu naye alichemsha kuwaanzisha kina Tshishimbi ambao hawana match fitness.

Hata kocha angeingia yeye akaanza, mmngepigwa tu!
Simba ilijiandaa vyema nje na ndani ya uwanja kushinda! Ilikuwa imeshamaliza kila kitu, kilichokuwa kimebaki ni kuimaliza utupolo tu!
Wala msimlaumu kocha au wachezaji, ukweli mlizidiwa sana acheni kulaumu sijui kocho, mara morrison oooh, sijui lamine!
...jilaumuni nyie mashabiki na midomo yenu!
 
Hata wangekuwa wazima tungewafunga tu.

Nyie ni wazuri kwa Mbeya city na timu nyingine ndogo ila si kwa Simba.

Kwa sasa ni bahati tu ndiyo mnaweza kuipata dhidi yetu ila kwa uwezo ni vyema mkafahamu bado mpo chini sana kwetu mtani fanyeni usajili msijifiche kwenye kivuli cha majeruhi[emoji3][emoji3]
Manara kakuharibu Mtani. Mana hii ni zaidi ya tambo. lol
 
Hata kocha angeingia yeye akaanza, mmngepigwa tu!
Simba ilijiandaa vyema nje na ndani ya uwanja kushinda! Ilikuwa imeshamaliza kila kitu, kilichokuwa kimebaki ni kuimaliza utupolo tu!
Wala msimlaumu kocha au wachezaji, ukweli mlizidiwa sana acheni kulaumu sijui kocho, mara morrison oooh, sijui lamine!
...jilaumuni nyie mashabiki na midomo yenu!
Unakielewa ulichokiandika Mkuu? 😳😳
 
Inahitaji uvumilivu wakati mwingine viongozi na benchi la ufundi wanafanya usajili kwa shinikizo la mashabiki timu bora haipatikani kwa usajili bali wachezaji kukaa pamoja na kuzoeana muda mrefu
Na kwa timu yetu ya Yanga bila Mabadiliko haya ndo yataendelea kila siku.

Kwani usajili mpaka sasa haueleweki mpango wake yaani tunazoa zoa tu ilimradi.
 
Aisee tar 8 march ile goli ilitukera sana,timu ina uwezo lakini goli halirudi mipira inagonga tu miamba,halafu cha kuuma zaidi nilikuwa pale kwenye kidedea jukwaa la simba ,morison alipofunga alikuja pale na kutembea kama mbwa style ya kukojoa,fay toto naye akatuonyesha dole la kati .

Sasa zamu yao
 
Back
Top Bottom