1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hahahah,,, yale maneno tu, mechi ishaisha na maisha mengine inabidi yaendelee,, kilichotokea jana kila mtu kaona,Ahsante mkuu lakini jana ni kipigo kama cha Maneno ya RPC wa dodoma
Hiki kipindi kigumu na inabidi mtulie sanaa na msipotulia mtaanza timua timua matokeo yake mtarudi nyuma zaidi.
Viongozi wetu wamekuwa waongo waongo na janja janja nyingi, mbaya zaidi mtu akiongea ukweli anaonekana msaliti.