Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Sikumbuki hata niliishia dakika ya ngapi. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Kumbe ulikata tamaa mapema hivyo. Unajuaje pengine yale magoli yalirudishwa kama yalivyorudi kwenye ile mechi ya 2-2!? Kwani ushajua matokeo ya dakika tisini Shadeeya ?๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ, maana kwa Yanga mpira haujaisha mpaka uishe.....chezea Chura churani wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Daima Mbele nyumaa..............
 
Au kayapanda dau?
JamiiForums209507263_359x439.jpg
 
Back
Top Bottom