Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ukirudi pita hapa nikupatie moja moto moja baridi.. Simba ndio mpango mzima..Napita naelekea uwanjani. Yanga daima.View attachment 1504549
Hatari sana ndio mana wanatakaga kumvunja.Kapombe kama Messi hapa anafanyiwa faulo
messi angekuwa ivi sidhani kama watu tungetazama la ligaKapombe kama Messi hapa anafanyiwa faulo
messi angekuwa ivi sidhani kama watu tungetazama la liga
mbona hakuna aliye mgusa kateleza sema mwamuzi katoa faulo kwa mazoea tuHatari sana ndio mana wanatakaga kumvunja.
kweli we mbumbumbu huyu akiwa kama messi morison utamfananisha na naniUtopolo jaribu kuiga kama una akili basi!!! Sijasema Kapombe ni Messi nimesema kama Messi kwa alichokifanya tu.
Wapi tunaweza kuona live pitia YouTube 🙏🏼🙏🏼wadau..
Link hiyo:
Mwenye link ya internet kushuhudia mtanange online atuwekee hapa.
Tiba
Hayaaaaaaaaaaaaa Simba 1 yanga 0 Getson Fraga anaweka kitu ndani ya kimyaakweli we mbumbumbu huyu akiwa kama messi morison utamfananisha na nani
Taratibu mzee wataelewa tuHayaaaaaaaaaaaaa Simba 1 yanga 0