Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Kwa Yanga hii hata tusiwe na matumaini kabisa maana sioni anaye enda kushambulia.
Mara mia angelikuwepo Nchimbi maana Kaseke haendi kabisa. Moringa nae hasomeki beki nayo cheche.
 
Misimu mitatu iliyopita Simba alishinda kwenye ngao kwa penalty...akaja kushinda kwenye ligi Goli la Nyoni baadaye akashinda kwenye ligi goli la Kagere.
Hivyo mechi ya ngao inahesabika itakua ni Mara 3
 
ni muda mrefu sijawahi kuangalia mpira wa yanga na simba, leo naagalia kupitia azam, kusema ukweli mpira wa kitanzania bado hujakuwa, sijui kwa nn hawabadiliki wabongo ! pamoja na kuajiri makocha wazuri lkn tabia zilezile za kizamani!!sijui kwa nn!!
kwa nn mchezo wa mpira kwa wachezaji wetu haubadiliki?!/haukui ?!
 
Salama Kaka..

Ni kweli nilipotea kwa muda kuna mambo yalinibana mkuu.

Leo nimerudi tusherehekee kuifunga Yanga si unaona tunavyowanyanyasa!!?

Sana, hawa jamaa walizidi sana kutamba na goli lao la Morrison.

Leo tunamaliza ubishi.

Karibu tena.
 
hadi leo hatuna sport academy?!
tunashuhudia mchezo wa kizee kabisa
 
Back
Top Bottom