Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
ni muda mrefu sijawahi kuangalia mpira wa yanga na simba, leo naagalia kupitia azam, kusema ukweli mpira wa kitanzania bado hujakuwa, sijui kwa nn hawabadiliki wabongo ! pamoja na kuajiri makocha wazuri lkn tabia zilezile za kizamani!!sijui kwa nn!!
kwa nn mchezo wa mpira kwa wachezaji wetu haubadiliki?!/haukui ?!
Mpira wa Africa kwa ujumla haubadiliki, tena nadhani unazidi kushuka kiwango.