Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

ushabiki tu hawezi kusaidia bila kuona viwango vya wachezaji wetu vikipanda, mm naangalia team inavyo shirikiana ktk mchezo na akili ikitumika,
sijui kwa nn
 
Kwetu Yanga hii mechi haipo vizuri, hii half time nimeazimia kwenda kabandua wife wa shabiki mmoja wa Simba ana kelele sana hapa... Naondoka mdogomdogo endeleeni kutupa update
 
sitaki wacheze kama liverpool lkn angalau nataka kuona viwango vya timu kama kotoko, vita, mazembee, paka, gormahia n.k
 
ushabiki tu hawezi kusaidia bila kuona viwango vya wachezaji wetu vikipanda, mm naangalia team inavyo shirikiana ktk mchezo na akili ikitumika,
sijui kwa nn
kwa akili hizi ukipewa tff unaweza toa pointi kwa timu inayomiliki mpira hata ipigwe 10

viwango vya wachezaji vinapanda vipi ukiwa timu zimejaza wachezaji wa kigeni.

utakuwa mshabiki wa mbumbumbu wewe.
 
ni muda mrefu sijawahi kuangalia mpira wa yanga na simba, leo naagalia kupitia azam, kusema ukweli mpira wa kitanzania bado hujakuwa, sijui kwa nn hawabadiliki wabongo ! pamoja na kuajiri makocha wazuri lkn tabia zilezile za kizamani!!sijui kwa nn!!
kwa nn mchezo wa mpira kwa wachezaji wetu haubadiliki?!/haukui ?!

Aston Villa anacheza dhidi ya Crystal Palace zima AzamTV katazame Wazungu wenzako usituletee ujuaji wa Kibongo hapa wakati hata Chandimu hujawahi kucheza.
 
ila apunguze michezo yake anapoteza mipira,halafu anaaibisha Yanga watamjeruhi
hahahaha hii inachekesha kwa mpira upi mbona zaidi ya mipira 4 imekuwa blocked kwake

naona anahangaika kujionesha anaweza kuwa kama morison bado hatoshi
 
Bora mwenzangu. Kafanye hivyo ila usikamatwe yu.
Kwetu Yanga hii mechi haipo vizuri, hii half time nimeazimia kwenda kabandua wife wa shabiki mmoja wa Simba ana kelele sana hapa... Naondoka mdogomdogo endeleeni kutupa update
 
Back
Top Bottom