Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Hahahahahahahahaha kuna mtu aliahid kuwa atakunya mbele ya umati w watu kama yanga atafungwa sasa namwona anavotafuta upenyo wa kukimbia baada ya walioahidiwa kukaa mlangoni 😂😂😂😂😂
 
Jamani dk ya ngapi? Wengine tupo nje ya nchi izo 3 hazijaongezeka tu tutulize presha?
 
Yanga leo anakufa mapema kabisaa, na kama wana Yanga mnajiamini basi msikimbia hapa tuwe wote hapa kws dk zote 90 msisubiri matokeo yawe mazuri ndio mje, acheni nidhamu ya woga.
Yanga Baridi
 
Back
Top Bottom