Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Hii mechi Simba wamenunua bei gani kwani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Morison muundieni tume anawapanda kichwani ana wanyea anawaendesha kama nyumba ndogo zinavyo tuendesha na hakuna wa kumhimili
 
Screenshot_20200713_080946.jpg

Binamu Shadeeya.. Hahaha
 
Back
Top Bottom