Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ufike tu kwa kweli na naamini safari hii timu moja tu ndo tutashangilia sababu mnapoishia huwa tunapajua.Sawa, ule muda wa ninyi kuhama hama kushangilia timu za nje unakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufike tu kwa kweli na naamini safari hii timu moja tu ndo tutashangilia sababu mnapoishia huwa tunapajua.Sawa, ule muda wa ninyi kuhama hama kushangilia timu za nje unakuja.
Ufike tu kwa kweli na naamini safari hii timu moja tu ndo tutashangilia sababu mnapoishia huwa tunapajua.
Let's wait and see Mtani.Mtateseka sana, maana tutakuwa tunawahamisha hamisha.
Sisi kwa uchache ni timu 5 tutakazo wahamisha, mbili mtoano wa kwanza, na tatu za makundi.
Let's wait and see Mtani.
Heheheheheeee.Hiyo ya "wait and see" ndiyo kauli mbiu pekee mliyobaki nayo.
Sisi tuko kazini, hatuna kuwait.
refa ali balance mchezo sana kiufundiIle 4G ilikuwa kuweka mambo sawa maana goli moja mbili hizi hawachelewi kulalamika tunabebwa
Siku nyingine mhonge hadi tff ili msiwe mnakutana na simba mapema msuniri hadi finaliEeeh!! Uwanja ni wenu leo.
Masikini daaaah😐Daah!! Ila ndo soka bana Mtani.
Tunaganga yajayo sasa.
Goal nne labda kwa mechi za ugenini....Ila 4 nyingi sana kama unabisha waulize wanandoa
fluke haijirudii mara mbili..Kagame kumbe unaezaga utangazaji eee. Mana si kwa updates hizi.
Hongera. [emoji122]
unajua kujifariji ila huwezi kuukataa ukweli mchungu!Goal nne labda kwa mechi za ugenini....