Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

kona ya pili kuelekea langoni kwa mtibwa dakika ya 39. mtibwa 0-0 jku
 
Amour 0mary janja anakosa goli la wazi yeye na golikipa wa mtibwa said mohammed
 
Milango bado ni migumu si mtibwa wala jku, dakika ya 44 mtibwa 0-0 jku
 
Dk 51 BADO MILANGO MIGUMU, MATUTA YANANUKIA TENA
 
Mtibwa wananiudhi sana, wanacheza mpira usiokuwa na ushindani, hali hii itawafanya baadhi ya wakuu kuendelea kukenua.
 
MM wacha kukariri kama lessoni
 
Back
Top Bottom