Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Mtibwa Vs JKU; Mnyama VS Polisi Zanzibar -Live Update

Mtibwa wananiudhi sana, wanacheza mpira usiokuwa na ushindani, hali hii itawafanya baadhi ya wakuu kuendelea kukenua.
mpira wao huwa ni wa nguvu/kukamia sana na ushindi wa bahati
 
Dakika 13 [TABLE="class: matches"]
[TR]
[TD="class: team"]Burnley
[/TD]
[TD="class: vs"]1 - 0
[/TD]
[TD="class: team"]
702.png
Queens Park Rangers
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mtibwa atasonga mbele hadi fainali kwa mkwaju wa penalti
 
Mpira umeisha Mtibwa 0 JKU 0 sasa ni matuta yanafuata hivi punde
 
Mpira ulikuwa mbovu, hamna timu iliyoonyesha vionjo (move), kwa ujumla mpira ulikuwa hauna kiwango zaidi ya piga liondike golini
 
Back
Top Bottom