Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo Mkuu. Siandiki sana sasa hivi, nitaandika baadaye maana nimepewa jukumu maalum, licha ya kulikataa naona jukumu bado limeniandama.
MM wacha kukariri kama lessoni
usijali mkuu tunashukuru kwa updates zako. ubarikiwe sana
Sijambo Mkuu. Siandiki sana sasa hivi, nitaandika baadaye maana nimepewa jukumu maalum, licha ya kulikataa naona jukumu bado limeniandama.
Kisebusebu na kiroho ---------.
Dakika 90 Mtibwa 0 JKU 0
JKU watamuuuu
Hapa Mtibwa walivyozoea penati wanaweza wakapita.Mpira umeisha Mtibwa 0 JKU 0 sasa ni matuta yanafuata hivi punde