Nusu fainali Sportpesa super cup: Kakamega Homeboyz 4-5 Simba SC, Gor Mahia 2 - 0 Singida

Wameingia fainali bila kufunga goli kwenye muda Wa kawaida.. Manara tulimwambia anainajisi timu.


Manara Ni Mkuu Wa Idara Ya Habari Ya Simba.

Sasa Anaingiaje Hapo?

× Manara Hahusiki na Scouts ya Timu.

× Manara Hahusiki na Ukocha

× Manara Hahusiki na Benchi la Ufundi na Huishia Kukaa Majukwaani.

× Manara Hahusiki na Kutoa Pesa Za Usajili.

Sasa Yeye Ni Kama MC kazi Yake Kucheza Na Mic tu halafu Munamtupia Lawama! Sio Fair.....


BYT: [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Hakufunga Goli, [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] si amefunga Goli Kwa [HASHTAG]#Kakamega[/HASHTAG] Kwanini Asicheze Yeye Finali?

[HASHTAG]#Vyura[/HASHTAG] Acheni Wivu huo...
 
Mbona yanaingia? Dhidi ya Kariobangi 3-2, na dhidi ya Kakamega 5-4. Jumla 8
Ulishasikia mfungaji bora kahesabiwa magoli kwa magoli ya penati za mtoano!?..huko kununua mechi hakuna,ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemea
 
Ulishasikia mfungaji bora kahesabiwa magoli kwa magoli ya penati za mtoano!?..huko kununua mechi hakuna,ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemea

Sasa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Yeye Yupo Wapi? Si aligegedwa na Hawahawa Wamegaji Wenu ambao Leo Wamemegwa Wao?

Cha ajabu Yanga Alifunga Goli Moja Katolewa Nje Ya Fence! But Simba Hajafunga Goli Lakini Anasonga Mbele!!! Hapo Ndiyo Ujuwe Mpira Ni all about techniques...
 
Manara anaingiza siasa zake kwenye mpira.
 
Yanga badala ya kuendelea kuifuatilia Simba huko Nakuru, andaeni hela siku ya mkutano mkuu mmeambiwa kila mtu aende na sh. 30,000/= za kufanyia usajili
 
Yanga msijifanye mko busy na msiba wa Sam wa ukweli huku kakamegwa amemegwa na mnyama
 
simba kuna mgomo baridi kuna wachezeji wamechukuliwa kwa dau kubwa.hyo hali imewaumiza wengne kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…