mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Mmega naye humegwaKakamega baada ya kummega Yanga, leo kamegwa na Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmega naye humegwaKakamega baada ya kummega Yanga, leo kamegwa na Simba.
Ni kweli..maana hakuna namna kwa jinsi mambo yalivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Langu jicho tu na leo.
Wameingia fainali bila kufunga goli kwenye muda Wa kawaida.. Manara tulimwambia anainajisi timu.
Mbona yanaingia? Dhidi ya Kariobangi 3-2, na dhidi ya Kakamega 5-4. Jumla 8Hiii timu siielewi Kabisa sahiv, tangu game ya Kagera hatujaona magoli.
Okwi na bocco imekuaje wameachwa
Mkuu hii ni kama simba B tu....
Okwi
Bocco
Asante kwasi
Juuko
Gyan
Kotei
Wote hawapo so nahisi fainali watakuwepo.....
Ulishasikia mfungaji bora kahesabiwa magoli kwa magoli ya penati za mtoano!?..huko kununua mechi hakuna,ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemeaMbona yanaingia? Dhidi ya Kariobangi 3-2, na dhidi ya Kakamega 5-4. Jumla 8
Heri anayeenda kwa kuchechemea kuliko aliyerudi nyumbani. 😀😀😀...huko kununua mechi hakuna, ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemea
Ulishasikia mfungaji bora kahesabiwa magoli kwa magoli ya penati za mtoano!?..huko kununua mechi hakuna,ndomana mnyama anaenda kwa kuchechemea
Manara anaingiza siasa zake kwenye mpira.Manara Ni Mkuu Wa Idara Ya Habari Ya Simba.
Sasa Anaingiaje Hapo?
× Manara Hahusiki na Scouts ya Timu.
× Manara Hahusiki na Ukocha
× Manara Hahusiki na Benchi la Ufundi na Huishia Kukaa Majukwaani.
× Manara Hahusiki na Kutoa Pesa Za Usajili.
Sasa Yeye Ni Kama MC kazi Yake Kucheza Na Mic tu halafu Munamtupia Lawama! Sio Fair.....
BYT: [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Hakufunga Goli, [HASHTAG]#NdalaFC[/HASHTAG] si amefunga Goli Kwa [HASHTAG]#Kakamega[/HASHTAG] Kwanini Asicheze Yeye Finali?
[HASHTAG]#Vyura[/HASHTAG] Acheni Wivu huo...
Unaelewa maana ya kikosi kipana?Mbona mechi dhidi ya Kagera waliokuwepo na hatukupata goli? Acheni kuvunja moyo wachezaji wengine.Simba Bila Okwi na Boko hatuna mfungaji
Malizia ukabetia,halafu ukaendelea kupanga mipango yako ya maendeleoSimba hii unaweza ukaenda bank na ukachukua mkopo wa hela.
Hahahaaa. Kibahati bahati mtani.Ni kweli..maana hakuna namna kwa jinsi mambo yalivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhani unaendelea vizuri na kazi ya kula matapishi yakoMpira Wa Simba tangu afungwe na Kagera umekuwa Wa hovyo sana..na hii Leo kusonga mbele in Bahati.