KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mess Singano sawa ila yule wa Barcelona mhhhSimba wamechachamaaaaaaa,dogo Rashid anapiga kama Mess
Huyu dogo Everton wajiandae,atawasumbua sanaMess Singano sawa ila yule wa Barcelona mhhh
Startv through Startimes appMwenye uwezo atutumie link tuangalie online....
dk ya ngap?matokeo vp?Rashid Juma out Adam Salamba inn
Langu jicho tu na leo.
Simba hii hii? Kweli Mbu Mbu Mbu shidaSasa napata amjibu ya kukimbia kwa Nsajigwa,amekimbia baada ya ratiba ya kagame
73 min. still 0-0dk ya ngap?matokeo vp?
Poa.73 min. still 0-0