Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]

Rais bora Afrika ni yule mwenye uwezo wa kushinda nishani ya Mo Ibrahim. Ambayo kigezo chake no moja ni utawala bora na demokrasia. Vipi huyu anayeitwa bora anavyo hivyo vigezo???
 
Tanzania yote imejaa vichwa vya wenda wazimu
 
Nani kiongozi Bora Afrika??

Hahaha, jamani msinicyekeshe bule..!!

Labda Yule kagàme at least anaweza kuwa bora

Lakini cyo Yule sizonje
 
Mama ako umemjulisha? Fara wewe unaendekeza majungu utakufa na pressure mwehu wewe.

we ni mjinga kweli kwa hiyo mama yako alikudanganya pressure inasababishwa na majungu? poor you!!!
 
Mkuu rais bora au BORA RAIS. ?
 
Aya sasa, turudi kwenye drama zetu za siasa. Mpira tuwaachie wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…