Nusura nife asubuhi ya leo

Nusura nife asubuhi ya leo

Tupo kwenye ugomvi kidogo namke wangu kuhusiana na suala langu la kuzidi kuwa namwili yaani big,,
Amemshirikisha na ndugu yakeupande wa baba yake suala hili.. mimi ni muungwana mno,aliniita na kuniambia nipunguze mwili namkera mkewangu

Sikupinga kwakuwa mimi nimtu mzima mwenye akili zangu... ila yeye alipokuwa akiongea aliongea nikama kwa shari hivi...

Kwanza nimemuona tu at first sight nikagundua ni MCHAWI... jicho lake la kushoto lilikuwa linawaka... ni mtu mwenyemaarifa tu ndiyo huona kitu hiki,na akajua kama nimemgundua...

Asubuhi yaleo nimeshindwa kwenda kazini kutokana na madhila niliyopata... nimeamka najiangalia kwenye kioo naona pingili za mgongo zimechomoza na mgongo umejipinda yaani curve

Nikasema nini hii? Mke wangu akawa ananiona normal tu...

Mara pua yangu ikadondoka chini... kwenye kioo nikaduwaa... badala ya kujiona mimi nikawa namuona huyo mjomba wa mke wangu

Huyu asili yake ni Germany na ana undugu wa mbali kidogo na mkewangu...

Namuona macho yanatema cheche huku anacheka sana

Mke wangu ananiuliza why umeduwaa? Namzuga tu ila nikawa ulimwengu mwingine kabisa...

Nikarudi kulala after kupiga simu yadharura ofisini... nikaamka saa sita mke wangu ananishangaa na kuniuliza kulikoni

Jamani nachoka kuandika mambo ni mengu mno... bado pingili hazijatoka zimekuwa ndefumno na mgongo umekuwawa kizee... mke wangu anaona kawaida tu hana macho ya kuona haya nipitiayo🤸‍♂️

Nitashinda vita hii kwa uwezo wake Yeye
Wakupokonye simj ushalewa🤣🤣🤸‍♂️🤨
 
Tupo kwenye ugomvi kidogo namke wangu kuhusiana na suala langu la kuzidi kuwa namwili yaani big,,
Amemshirikisha na ndugu yakeupande wa baba yake suala hili.. mimi ni muungwana mno,aliniita na kuniambia nipunguze mwili namkera mkewangu

Sikupinga kwakuwa mimi nimtu mzima mwenye akili zangu... ila yeye alipokuwa akiongea aliongea nikama kwa shari hivi...

Kwanza nimemuona tu at first sight nikagundua ni MCHAWI... jicho lake la kushoto lilikuwa linawaka... ni mtu mwenyemaarifa tu ndiyo huona kitu hiki,na akajua kama nimemgundua...

Asubuhi yaleo nimeshindwa kwenda kazini kutokana na madhila niliyopata... nimeamka najiangalia kwenye kioo naona pingili za mgongo zimechomoza na mgongo umejipinda yaani curve

Nikasema nini hii? Mke wangu akawa ananiona normal tu...

Mara pua yangu ikadondoka chini... kwenye kioo nikaduwaa... badala ya kujiona mimi nikawa namuona huyo mjomba wa mke wangu

Huyu asili yake ni Germany na ana undugu wa mbali kidogo na mkewangu...

Namuona macho yanatema cheche huku anacheka sana

Mke wangu ananiuliza why umeduwaa? Namzuga tu ila nikawa ulimwengu mwingine kabisa...

Nikarudi kulala after kupiga simu yadharura ofisini... nikaamka saa sita mke wangu ananishangaa na kuniuliza kulikoni

Jamani nachoka kuandika mambo ni mengu mno... bado pingili hazijatoka zimekuwa ndefumno na mgongo umekuwawa kizee... mke wangu anaona kawaida tu hana macho ya kuona haya nipitiayo

Nitashinda vita hii kwa uwezo wake Yeye
Popoma kama popoma
 
Mtoa mada soma vitabu vya alfu lela ulela utapata visa vingi sana vya ajabu ajabu!
 
3B2DE4AE-0BFE-42FA-89AB-363AFB487A80.jpeg
 
Ungekua umeoa mwanamke aina ya cute wife angeshakumalizia ukafie mbele abaki na mali
Inafikiri ataniua kwa njia ipi? Sumu kwenye chakula(angeacha alama na hawezi kuwa mjinga hivyo)? Kupitia mganga(hakuna mganga wa kuniroga Africa yote)? Unafikiri angeniuaje?
 
Tuheshimiane... nina heshima zangu, ni Mhadhiri, mume na baba wa watoto wawili
We ni mpumbavu na mjinga.

Kama ni mhadhiri ulienda shule kusomea ujinga na ufala.

Kama ni baba wa watoto basi ni baba kubwa Jinga.
 
Back
Top Bottom