Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Alikuwa anapenda sana kutukana enzi hizo alikiwa gari za Makumbusho temekeKuna konda kipindi cha nyuma alikuwa na mdomo kwapani. Gari za Ubungo Masaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anapenda sana kutukana enzi hizo alikiwa gari za Makumbusho temekeKuna konda kipindi cha nyuma alikuwa na mdomo kwapani. Gari za Ubungo Masaki.
kumbe na wewe mkongwe. Alikuw anakul karanga kwapani😀 mara nyingi unamkuta na karangaAlikuwa anapenda sana kutukana enzi hizo alikiwa gari za Makumbusho temeke
Acha kutafuta attention kwa UJINGA.Sawa ahsante
Sawa nashukuruAcha kutafuta attention kwa UJINGA.
Kaka Carlos kichaa anakuwaje Lecturer lakini?Mwanangu, unaanza kuingia kwenye hatua ya Ukichaa !!.
Mkuu huyo jamaa alikua na mdomo kwapani!!! Kivip yaan? Na panapotakiwa kuwa na mdomo kulikua na nn? Alikua havai shati mpaka muone mdomo kwapani?kumbe na wewe mkongwe. Alikuw anakul karanga kwapani😀 mara nyingi unamkuta na karanga
huyu konda ukisimuliw unaweza fikiri masikhara..Alizaliwa na mdomo kwapani na hata karanga alikuw anazirushia kwapani anatafuniaMkuu huyo jamaa alikua na mdomo kwapani!!! Kivip yaan? Na panapotakiwa kuwa na mdomo kulikua na nn? Alikua havai shati mpaka muone mdomo kwapani?
kaka litutumbwe , hiyo Pia kudondoka, kwahiyo kabisa Ilivodondoka, ukajishika pua ukajiona haipo kabisa? Na mgongo umepinda? Ila ni wewe tu ndo unaona Hilo Mkuu?.Kaka Carlos kichaa anakuwaje Lecturer lakini?
Amini kwamba... mambo haya yanatisha mno kaka Carlos,sema naongea na ndiyo maana yanaonekana marahisi...kaka litutumbwe , hiyo Pia kudondoka, kwahiyo kabisa Ilivodondoka, ukajishika pua ukajiona haipo kabisa? Na mgongo umepinda? Ila ni wewe tu ndo unaona Hilo Mkuu?.
Wewe jamaa hilo katuni lako bhanahuyu konda ukisimuliw unaweza fikiri masikhara..Alizaliwa na mdomo kwapani na hata karanga alikuw anazirushia kwapani anatafunia
hahaha 🤣 hilo likatuni lina mademu kibao linapeleka moto hatariWewe jamaa hilo katuni lako bhana
Akikukosa njia zote anakutumia hata majambazi, shukuru tu huyo mkeo ni mstaarabu. Jichanganye upate kama cute wife ndio utaelewaInafikiri ataniua kwa njia ipi? Sumu kwenye chakula(angeacha alama na hawezi kuwa mjinga hivyo)? Kupitia mganga(hakuna mganga wa kuniroga Africa yote)? Unafikiri angeniuaje?
Countrywide nikuulize swali dogo... hivi mbona watu wazito mfano Marais huwa hawauawi na wake zao? Badala yake why wauawe watu wa kawaida including walalahoi?Akikukosa njia zote anakutumia hata majambazi, shukuru tu huyo mkeo ni mstaarabu. Jichanganye upate kama cute wife ndio utaelewa