Nusura ya Tanganyika ni anguko la CCM


Upe muda wakati ni hakimu mzuri
 
CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda
Kwanza sii kweli kuwa CCM imepangawa na uchaguzi mkuu, kitu ni chako mwenyewe utapagawa vipi nacho?. Na kwenye kufanya maandalizi, please usiseme mbinu chafu, sema zile mbinu za kawaida za ki napenape!, kinyago ukichonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha.
CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko Visiwani hali ni mbaya zaidi kuliko huku Bara! Lakini wanalazimisha kupendwa kwa namna yoyote ile.. Hii ni hatari sana!
Sii kweli, CCM inapendwa sana na viongozi wake wanapendwa sana, usipime, ndio maana wanachaguliwa kwa kishindo, kila baada ya miaka mitano.
Ogopa sana mtu aliyepagawa na jambo lolote lile.. Atafanya mambo ya ajabu bila ufahamu wake kamili.. Na yeyote atakayejaribu kumuasa anageuka kuwa adui na m'baya wake!
Hakuna aliyepagawa, CCM haiwezi kupagawa wakati Tanzania ni yake ni mali yake!.
Katikati ya hii taharuki na kupagawa kwa CCM wamejiinua watu wenye uchu na nia mbaya na tunu zetu za taifa hasa ardhi na maliasili zake.. Hawa wanamwaga pesa balaa ili chama kishinde
CCM kushinda chaguzi zote haihitaji kumwaga pesa zozote balaa!, ile tshirt na kofia, kanga , dera na shibe ya siku moja zinatosha.
Kwasasa wamevaa koti kubwa la wema na upole lakini rohoni ni wabaya shetani anasubiri..
This is not fair comment, yaani CCM ni wabaya kuliko shetani!, not fair kabisa!.
Duh...!.
Na kama button ya kutiririsha Ilikuwa 4G ya kufyonza itakuwa 6G.

Kama button ya kutiririsha ilikuwa imefungwa engine ya carina ya kufyonza itafungwa ya semi trailer
Duh...!.
Watanyonya kila kitu kisha watafyonza Mabaki..
Duh....!.
Na hatutawafanya kitu kama mshirika wao atarudi mamlakani..!
Duh...!, yaani unatumia neno "kama", as if kuna possibility asirudi!.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa mkweli na kuukubali ukweli toka ndani ya nafsi yako, hata kama huupendi lakini lazima uukubali, kiukweli kabisa, CCM is there to stay!.
Rejea
Karibu
 
::Hivi kuna umuhimu wowote ule wa kuwa na taasisi ya urais au kuchagua Rais wa nchi wakati tuna Mkuu wa majeshi?

::Hivi kuna umuhimu wowote wa kuwa na wizara na mawaziri wa wizara mbali mbali badala yake wakuu wa kisekta mfano makatibu wakuu wakaendesha sekta au Idara zao?

::Hivi kuna umuhimu wa kuwa na vyama vya siasa? Kwa nini kusiwe na sera za taifa badala ya kila chama kunadi ilani zao za uchaguzi? Kwa nini kusiwe na mipango ya kitaifa ambayo inafahamika ili kila chama kinachoshinda kifanye kutekeleza tu?

::Kwa nini tusibuni mfumo wetu wa utawala unaolingana na mila na utamaduni wetu katika mazingira yetu badala ya kung'ang'ania mfumo wa kikoloni unaoakisi utawala usio wa kidemokrasia?....Au tunalazimishwa kufuata maagizo hata kama tumejitawala?

::Kwa nini tusiendeleze alipoishia Jaji Warioba ili tupate Katiba mpya ambayo kwa kiasi kikubwa ni maoni ya wananchi? Kwa nini tusifanye kura ya maoni kuamua juu ya muundo wa muungano?

::Kwa nini tuna haraka sana ya kwenda kwenye uchaguzi wa 2024/25 wakati mfumo wa utawala bado ni ule ule wa kikoloni unaokumbatiwa na chama kimoja kilichohodhi mamlaka yote ya utawala tena kwa mihimili yote na vyombo vyake vya Dola? ... 😳 πŸ€”
 
Je
Je chadema wao ni wasafi?wanatoka jamii ipi isiyo na makandokando ya ccm?chadema ni ccm na ccm ni chadema,laabda MGOMBEA BINAFSI ikiruhusiwa!!
 
Bora Samia afe kama Magufuli Tanganyika ibaki huru
Hiki ndicho kipimo chako cha hekima na busara? Ndiyo uhuru wa maoni huu? Unajua umeandika kitu kibaya sana ambacho kinachoma moyo? Omba radhi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Chama kipya ndo kinaweza leta ustawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…