Nusuru ndoa yangu

Pole sana kaka hichi kipindi hata mimi nilipitia katika ndoa yangu.Ushauri mkuu kwangu nilioa amua mimi kufanya hata na mimi baada ya kupita kwenye migogoro kama yako ni hivi.

1.Furaha ya maisha yako iko ndani ya mikono yako wewe.Usisubiri furaha na Amani itoke kwa mwanamke wako,Jitume kufanya kazi kuwa bize ukipata nafasi basi spent na watu wako wa karibu.

2.Soma vitabu sana na kaa na watu wenye akili na walio fanikiwa wakupe mbinu za kufanikiwa na kusaka pesa kwa nguvu...Mkeo atajirudi na atakupenda tena.
 
Apa sehemu nina ishi jamaa ali mfungulia duka mkewe, mwisho wa siku mke akaleta jeuri mpaka ndoa ika vunjika, jamaa akasema sawa yaishe, jamaa akaondoka aka muachia mke watoto 3, nyumba pamoja ma duka, sasa jamaa alichofanya baada ya kuondoka na ndoa kuvunjika, jamaa alikodi wezi wakaenda vunja lile duka na kuiba vitu vingi sana, yule mwanamke alikuwa na akiba basi aka jazia tena lile duka...yule jamaa au mume aliye achana na huyo mwanamke aka kodi tena wezi, Safari hii wali safisha duka lote, yule mwanamke hakuwa na mtaji ikabidi akope aanze pole pole ila ndiyo hivyo duka si duka tena, halipo kama mwanzo.

Wanawake wakisha shika pesa wanaona hawana haja ya kuwa na mwanaume.
 
Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kuku
Huyo kubadilika ni uongo atamuigizia tu tena baada ya hilo duka kufa vinginevyo picha ndio kwanza linaanza.
 
Hawaaminiki, tuishi nao tu kwa akili. Ni viumbe hatari sana kwa kweli.
 
Hivi sjui kwa nini wanawake akipata tu hela anaanza kutangaza wewe hauhudumii familia... mara yeye ndio anatoa matumizi. Nimeona pahala pengi kbs.

Wakati mwanaume anaweza kuhusia maisha yote mpk kifo lakn wala hutamsikia akisema chochote
 
hayo ni mambo ya kawaida kwacwanawake we mouuze tu na endelea kumt ia sawasawa
 
Ahsante sana rafiki, nimekuelewa vizuri
Huwa unampa pesa ya matumizi binafsi?
Ndiyo
 
VIJANA TUNATUMIA AKILI NYINGI SANA KUISHI NA WANAWAKE MPAKA TUNAJISAHAU NA SISI WENYEWE. TUNAKUJA KUSHTUKA MUDA UMESHATUTUPA MKONO NA HAKUNA YA MAANA SANA TULIYOYAFANYA
 
VIJANA TUNATUMIA AKILI NYINGI SANA KUISHI NA WANAWAKE MPAKA TUNAJISAHAU NA SISI WENYEWE. TUNAKUJA KUSHTUKA MUDA UMESHATUTUPA MKONO NA HAKUNA YA MAANA SANA TULIYOYAFANYA
Hatari yani, sema ndivyo ilivyoandikwa tutafanyaje sasa... ndio maana wanasema swala la ndoa nalo ni wito so kama Huna huo wito ni ngumu kuvumilia.
 
Funga duka na ulikosea sana kufanya vikao hivyo.

mbali na vikao vya maandalizi ya harusi ukishaoa vinabaki vikao viwili vitatu vya onyo yellow card, ikiwa mambo yataenda kinyume, hapo unampa terms na condition zako zote, asipoelewa yellow card ya pili ni likizo kwao wiki au mwezi, asipobadilika kabisa kabisa yaani the point of no retuln toa kadi nyekundu anza upya.

Maisha ni haya haya uwahi au uchelewe wote mwisho wa aina moja.

Enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…