Nusuru ndoa yangu

Nusuru ndoa yangu

Pole sana kaka hichi kipindi hata mimi nilipitia katika ndoa yangu.Ushauri mkuu kwangu nilioa amua mimi kufanya hata na mimi baada ya kupita kwenye migogoro kama yako ni hivi.

1.Furaha ya maisha yako iko ndani ya mikono yako wewe.Usisubiri furaha na Amani itoke kwa mwanamke wako,Jitume kufanya kazi kuwa bize ukipata nafasi basi spent na watu wako wa karibu.

2.Soma vitabu sana na kaa na watu wenye akili na walio fanikiwa wakupe mbinu za kufanikiwa na kusaka pesa kwa nguvu...Mkeo atajirudi na atakupenda tena.
 
Apa sehemu nina ishi jamaa ali mfungulia duka mkewe, mwisho wa siku mke akaleta jeuri mpaka ndoa ika vunjika, jamaa akasema sawa yaishe, jamaa akaondoka aka muachia mke watoto 3, nyumba pamoja ma duka, sasa jamaa alichofanya baada ya kuondoka na ndoa kuvunjika, jamaa alikodi wezi wakaenda vunja lile duka na kuiba vitu vingi sana, yule mwanamke alikuwa na akiba basi aka jazia tena lile duka...yule jamaa au mume aliye achana na huyo mwanamke aka kodi tena wezi, Safari hii wali safisha duka lote, yule mwanamke hakuwa na mtaji ikabidi akope aanze pole pole ila ndiyo hivyo duka si duka tena, halipo kama mwanzo.

Wanawake wakisha shika pesa wanaona hawana haja ya kuwa na mwanaume.
 
Lijitu lina 0ver 37yrs linabadilikaje? Hiyo duka funga mpe kazi ya kulisha nguruwe na kuku
Huyo kubadilika ni uongo atamuigizia tu tena baada ya hilo duka kufa vinginevyo picha ndio kwanza linaanza.
 
Kuna mtu anapita na gari Dualis ya mkopo na zawadi dukani na marashi hayo siyo yeye kanunua ni msela tuu,hivyo yeye anachukua pesa ya duka na kulipia chumba cha hotel,hatimae kidudu kinasuguliwa na AC ikiwa inapuliza na room service juu,usiwekeze sana kwa Hawa viumbe wakati wao uliondoka na msaliti mkuu Eva.Ukijifanya unawekeza akipendeza wateja wakimsifu na kumnunulia tunda la apple ,wewe unaonekana wa kusoma.Mzee ogopa nyege za hao watu wakiwa na hasira na wewe,atasuguliwa huku anatukana matusi yote,sugua tesha akija atakula Mafi ya mama yake,sio watu Hawa usione wanatikisa makalio ukaona ni watu wa maana,hata ununue gari muosha kucha anaweza kusugua mbususu mpaka iwake moto,stukeni.Shubamiti hawa
Hawaaminiki, tuishi nao tu kwa akili. Ni viumbe hatari sana kwa kweli.
 
Hivi sjui kwa nini wanawake akipata tu hela anaanza kutangaza wewe hauhudumii familia... mara yeye ndio anatoa matumizi. Nimeona pahala pengi kbs.

Wakati mwanaume anaweza kuhusia maisha yote mpk kifo lakn wala hutamsikia akisema chochote
 
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.

Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.

Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.

Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
hayo ni mambo ya kawaida kwacwanawake we mouuze tu na endelea kumt ia sawasawa
 
Usimchukie wewe ISHI naye vizuri na kwa hekima Sana .

Na unabidi usitumie nguvu yoyote kumuonesha kuwa Una mpango wa kumuacha au kuvunja ndoa


Ili asikuroge
Kukuwekea sum u
Na kukufanyia kitu kibaya jaribu kuwa smart na humble mpe ushindi.

Faida
Ndoa itaendelea kuwepo na mtalea watoto vizuri.

Atafika muda atabadilika na kujua thamani yako.


Mke wako yupo katika phase (awamu) ya kushindwa kutofautisha kati ya PRICE AND VALUE.

Ndoa ni kitu cha thamani Sana kwani ndo hatua ya mwisho ya mahusiano ya mke na mume.

Ila price -gharama Kama nguo , marashi ,simu ,duka n.k ni mambo ya kawaida Sana na hupitwa na wakati according to the time and space.

Angalizo.
Be nice
Be humble
Love each other and don't be trapped by being nasty

Nice guy finish last but with great reward.

Maintain being positive 24/7.
Ahsante sana rafiki, nimekuelewa vizuri
Huwa unampa pesa ya matumizi binafsi?
Ndiyo
 
Pole sana kaka, ila pia niseme tu kwamba ulikosea tangu mwanzo, ulivyomfungulia hiyo ofisi ulimuachia majukumu yote ya kiofisi yawe juu yake kwahiyo hii imefanya ajisahau na ahisi ni biashara yake peke yake. So hiyo mistake sijui unawezaje kuirekebisha tena coz ulitakiwa kila siku mpige hesabu wote na uwe unatembelea ofisi mara kwa mara na uoneshe kuijali hiyo sehemu na hii ingemfanya ajue kwamba hiyo biashara ni ya familia sio yake peke yake.

Kingine inaonekana mkeo hajawahi kushika pesa nyingi kwenye maisha yake so kutokana na hiyo hali ilifanya asiwe na uhuru wa kifedha kupelekea kutokuyaishi yale maisha ya ndoto yake. Kwahiyo hivyo vyote unavyoviona anafanya sasa hivi ujue ndio vitu ambavyo anavipenda na ndio vipo kwenye damu yake so ni vile tu wewe umechelewa kumjua mapema kwasababu hakuwa na pesa na wewe uliyokua unamuachia ilikua nje ya budget zake.

Kwahiyo sio kwamba ndoa yako iko matatani ila ni kwamba mkeo anaishi uhalisia wa maisha yake na amekua huru zaidi kwa namna ile ambayo wewe haukuizoea kwenye miaka 12 or 13 iliyopita.

Mkeo yuko na financial freedom now so kama ulizoea kumpangia majukumu na kufuata hizo orders zako now hafanyi coz ako na uhuru wa kifedha na anauwezo wa kujiamulia kwasababu haumbabaishi tena.

Ushauri wangu kwako ni unaweza kufanya jambo moja kati ya haya mawili, moja ni ufanye namna umfilisi ili arudi tena kuwa mama wa nyumbani na ale msoto miezi kadhaa then ndio umfungulie tena ofisi na mara hii make sure wewe ndio unakua the main player kwenye hiyo ofisi utakayo ifungua.

Mbili, ishi kwa namna anavyotaka yeye yaani uyakubali hayo mabadiliko ya mkeo na uyazoee but uendelee kuplay part yako as a man na baba wa familia huku ukijitahidi kumfanya mkeo awe rafiki yako, kama ni out umtoe coz skuizi anapendeza na kunukia usipomtoa wewe watamtoa wenzio na nguo nzuri mnunulie pamoja na hizo manukato anazopenda, najua itakua ngumu ila ndani ya miezi mitatu utaona furaha ya ndoa yako tena.

NB: Vijana ambao hamjaoa make sure mnaoa wanawake ambao wamezoea kushika pesa na wako stable financial or their mindset kwenye pesa imetulia.
VIJANA TUNATUMIA AKILI NYINGI SANA KUISHI NA WANAWAKE MPAKA TUNAJISAHAU NA SISI WENYEWE. TUNAKUJA KUSHTUKA MUDA UMESHATUTUPA MKONO NA HAKUNA YA MAANA SANA TULIYOYAFANYA
 
VIJANA TUNATUMIA AKILI NYINGI SANA KUISHI NA WANAWAKE MPAKA TUNAJISAHAU NA SISI WENYEWE. TUNAKUJA KUSHTUKA MUDA UMESHATUTUPA MKONO NA HAKUNA YA MAANA SANA TULIYOYAFANYA
Hatari yani, sema ndivyo ilivyoandikwa tutafanyaje sasa... ndio maana wanasema swala la ndoa nalo ni wito so kama Huna huo wito ni ngumu kuvumilia.
 
Funga duka na ulikosea sana kufanya vikao hivyo.

mbali na vikao vya maandalizi ya harusi ukishaoa vinabaki vikao viwili vitatu vya onyo yellow card, ikiwa mambo yataenda kinyume, hapo unampa terms na condition zako zote, asipoelewa yellow card ya pili ni likizo kwao wiki au mwezi, asipobadilika kabisa kabisa yaani the point of no retuln toa kadi nyekundu anza upya.

Maisha ni haya haya uwahi au uchelewe wote mwisho wa aina moja.

Enjoy.
 
Back
Top Bottom