General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Pole sana kaka hichi kipindi hata mimi nilipitia katika ndoa yangu.Ushauri mkuu kwangu nilioa amua mimi kufanya hata na mimi baada ya kupita kwenye migogoro kama yako ni hivi.
1.Furaha ya maisha yako iko ndani ya mikono yako wewe.Usisubiri furaha na Amani itoke kwa mwanamke wako,Jitume kufanya kazi kuwa bize ukipata nafasi basi spent na watu wako wa karibu.
2.Soma vitabu sana na kaa na watu wenye akili na walio fanikiwa wakupe mbinu za kufanikiwa na kusaka pesa kwa nguvu...Mkeo atajirudi na atakupenda tena.