DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu wivu nndo unafanyaga walimu tuonekane mabwege!.. hapo Mwamba had unaropoka humu Basi ushapigwa hela ili.upate huo ukuu Ila imefeli,, punguza wivu!.. any way Msalimie Shemej Yangu hapo shuleni!.. na mwanangu Michael
 
Acheni majungu walimu Afisa Elimu yeye hana mamlaka ya kutoa Na kumpa mtu hiyo nafasi
Acheni unafiki walimu na majungu hizo nafasi zinatoka baada ya Mkurugenzi na Watu kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa RAS kuzipitia na kumjua Mtu huyo kama ni sahihi ndio anapewa

Shida ya Walimu sifa zenu ni hizi kuchafuana,majungu,unafiki,waongo na watu waliokata Tamaa kbsa kbsa acheni mambo hayo

Ndugu niwaombe Tuu wachunguzeni sana walimu mtawajua kama una mtoto wako kaana nae taratibu na ulinza sifa za walimu wao atakachokuambia unaweza usiamini
 
Takukuru wilaya,
mkugenzu,
mkuu wa idara elimu,
mkuu idara utumishi,
das,
mkuu wa wilaya,
mkuu wa polisi wilaya,
dso,
wote hawa hawayajui haya?

Kama ni kweli basi tuna safari ndefu sana
Walimu ni watu wa ajabu sana
 
Acha unafiki wewe na uongo acha kumchafua mwenzako
Badilikeni sana Walimu
 
Ualimu ni kada ya hovyo sana.... imejaa uchawi...wivu na husuda. Hagwila mrudie Yesu atakuokoa acha wivu na husuda.
Hakika sema watu Wengi sana hawawajui walimu walivyo ukitaka kuwajua jifunze kutoka kwao hakikuambia kitu hautawaamini
Nakuambia hakuna kada inayoongoza kwa Uchawi wa maneno kama walimu wanajua kusagia kunguni hao na unaweza ukasema Kweli
 
Huu wivu nndo unafanyaga walimu tuonekane mabwege!.. hapo Mwamba had unaropoka humu Basi ushapigwa hela ili.upate huo ukuu Ila imefeli,, punguza wivu!.. any way Msalimie Shemej Yangu hapo shuleni!.. na mwanangu Michael
Bora wewe unawajua walimu ni watu wa hovyo sana wakipita mtaani tunawaheshimu sana hila

Kama humu kuna mtu mke wake ni mkuu wa shule au Mwalimu Mkuu muulize changamoto anazopitia kutoka kwa walimu wenzake nakuambia unaweza ukamwambia acha kazi Mke wangu au hicho cheo
 
Acha unafiki wewe na uongo acha kumchafua mwenzako
Badilikeni sana Walimu
Mimi c mwalmu mkuu...ila nliambiwa tu kuwa ni afisa elimu Magu...ila pia sijatoa malalamiko ni mtizamo wangu tu....Ila pole pia cz yawezkana unanufaika nae ndo maana umekuja na povu la kutosha
 
Takukuru wilaya,
mkugenzu,
mkuu wa idara elimu,
mkuu idara utumishi,
das,
mkuu wa wilaya,
mkuu wa polisi wilaya,
dso,
wote hawa hawayajui haya?

Kama ni kweli basi tuna safari ndefu sana
Ccm Yenyewe Haijui Sasa Hao Watajua Nini
 
Mapendekezo ya kuteua Mwl mkuu, yanaanzia kwa hao maafisa taaluma wa wilaya, majina yanapitiwa na afisaelimu wilaya, mdhibiti mkuu wa shule wilaya, TSC wilaya na yakithibitishwa, DED anateua mwl mkuu.
 
yaani mtu ni mwalimu, maisha yenyewe magumu hivi, kisha unahonga uwe mwalimu mkuu uongezewe majukumu. Ningekuwa ticha nisingetaka hicho cheo, ningekikwepa ili niwe na muda na utulivu wa akili wa kupiga mishe zangu....cheo chenyewe unatukanwa na mtendaji wa kata, mratibu, diwani, dc, mkurugenzi, rc hata na mkimbiza mwenge.
 
Hata Mimi ningefanya hivyo,Hawa Wana muda mwingi wa kuipiga mishe kuliko Watumishi wa kada nyingine lakini kutwa majungu na malalamiko tu.
Hii ndio kada yenye likizo zaidi ya nne Kwa mwaka lakini hawaitumii wangejua wenzao wanatamani kuwa na likizo japo mbili Kwa mwaka ili wafanye mishe zao.
 
Mapendekezo ya kuteua Mwl mkuu, yanaanzia kwa hao maafisa taaluma wa wilaya, majina yanapitiwa na afisaelimu wilaya, mdhibiti mkuu wa shule wilaya, TSC wilaya na yakithibitishwa, DED anateua mwl mkuu.
Ni kwa nini hawa DED na MD mbona wamepewa Madaraka makubwa sana? Almost kila kitu ni wao ndio final.
 
ni watu wa ajabu sana.
 
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti: kuna mhuuni moja (Njau) kapewa ukuu wa Shule ya Sekondari Hana hats sifa, ni mhuuni amepanga ghetto, anashinda bar, hana mke, akilewa anajishindia mabaya medi!
Yeye ni chawa wa SLO Ghuzuye, bila kuwa chawa, kuchongea Walimu, hupati promotion
 
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti: kuna mhuuni moja (Njau) kapewa ukuu wa Shule ya Sekondari Hana hats sifa, ni mhuuni amepanga ghetto, anashinda bar, hana mke, akilewa anajishindia mabaya medi!
Yeye ni chawa wa SLO Ghuzuye, bila kuwa chawa, kuchongea Walimu, hupati promotion
 
N
Nani amekuambia sifa za kuwa Mkuu wa shule ni kuoa??achen majungu..
 
Takukuru wilaya,
mkugenzu,
mkuu wa idara elimu,
mkuu idara utumishi,
das,
mkuu wa wilaya,
mkuu wa polisi wilaya,
dso,
wote hawa hawayajui haya?

Kama ni kweli basi tuna safari ndefu sana
Naamini wapo waliokuwa wanayajua; hata kama siyo kikamilifu, nadhani sasa wamechunguza na kubaini ukweli wa ufisadi wa afisa huyo.
Hatimae NYAGABONA amepata uhamisho kwenda Wilaya ya Misungwi ambalo anatakiwa kuripoti leo 03/7/2023; na huko ataendelea kuwa kitengo hichohicho lakini atakuwa chini ya Afisa Taaluma wa Wilaya Msingi ambaye anatakiwa awe makini sana na huyo Nyagabona, vinginevyo atamzidi nguvu!!
Waalimu Wakuu wa shule za msingi wilayani Misungwi mjipange, huyo jamaa hafai; akishazoea mazingira ya Wilaya hiyo ataanza tena ubazazi wake.
Kwa wale waalimu Wakuu mliopiganishiwa na Nyagabona kuupata Ualimu Mkuu wilayani Magu mjue kwamba kinga yenu imeondoka; kazeni msuli mfanye kazi kwa juhudi na maarifa; vinginevyo mtanyonywa macho muda si mrefu kama siyo kuliwa vichwa.
Yego CHIGULU hapo Kisesa A S/M na Mugabo NJALA hapo Magu S/M, jipangeni; utopolo wenu hauna mtetezi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…