Nyakati hizi muda wa wastani wa ndoa ni miaka 8. Wewe Upo mwaka wa ngapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
ec903e0bea439971f12857527a324d84.jpg
 
😁😁😁 sijui umewaza nn bro.
Ila sio hivy unavyowaza.

Kwenye ndoa % ya wanaume ndio Tunazingua. Ila kama ukipata mwanamke anayeweza kusamehe na kuhimili mikikimikiki .
Miaka ya kuozeana kuanzia 10-20 mkiyavuta kwa kuvumiliana.

Bas ndoa inadumu.
 
😁😁😁

Wakati huu wa uliemzungumzia utapata kwenye story book mkuu ingawa wapo ila ni mmoj kati ya 20
 
Kuna mama mmoja amefanya wedding anniversary occassion kwa kufikisha miaka kumi akidai ni bahati kubwa sana kufika muda huo ukiwa ndoani kwani wenzake ndoa zao zilishasambaratika siku nyingi. Anasema siku hizi ndoa hazidumu kama zamani
 
🤣🤣
 
Back
Top Bottom