Nyakati hizi muda wa wastani wa ndoa ni miaka 8. Wewe Upo mwaka wa ngapi?

Mm sijawah support kataa ndoa.

Nataman kila mmoja aoe au kuolewa.
Maana ukimaliza hili la ndoa ndio utaona mwanga mbele.
Utapanga maisha yako kwa kujua una majukumu na malengo gani ya kutimiza.

Ngoja nishare Binafsi nilivyojiwekea.
Nikiwa na miaka 20. Niliwaza sana na kujiwekea malengo.

Nashukuru Mungu niko on track.
Miaka 22-25 = Gheto zuri + kagar kadogo 😂😂😂
Miaka 26-30 = Kuoa + Watoto + Kununua kiwanja.
Miaka 30 -35 = Kujenga + wifey awe na gar. Emergency za watoto nk
Miaka 35 - 40 = kuanzisha Biashara + kununua Kiwanja + kusomesha
Miaka 40 - 45 = kukuza biashara + kusomesha + kuanza kujenga nyumba ya pili
Miaka 45 - 50 = kukuza biashara zaid + kusomesha+ kumalizia nyumba .
Miaka 50 - 60 = kusomesha + Kustaafu na kusimamia biashara niliyoanzisha miaka 10+ nyuma.

Miaka 60+ kula pension.😂😂😂😂
Hii Ni mipango tu. Mungu ajalie .
Now niko Mid 30.
Nigei buku mkuu😁😁
 
Mo29
 
Hapa inabidi kubalance mambo.

1. Uchumba miaka 10, Watoto 2
2. Ndoa miaka 8, Mnamalizia mtoto 1

Hapo hata mkiachana mnabaki Ndugu tu ni kifo tu kitawatenganish 😀
 
Back
Top Bottom