Nigei buku mkuuππMm sijawah support kataa ndoa.
Nataman kila mmoja aoe au kuolewa.
Maana ukimaliza hili la ndoa ndio utaona mwanga mbele.
Utapanga maisha yako kwa kujua una majukumu na malengo gani ya kutimiza.
Ngoja nishare Binafsi nilivyojiwekea.
Nikiwa na miaka 20. Niliwaza sana na kujiwekea malengo.
Nashukuru Mungu niko on track.
Miaka 22-25 = Gheto zuri + kagar kadogo πππ
Miaka 26-30 = Kuoa + Watoto + Kununua kiwanja.
Miaka 30 -35 = Kujenga + wifey awe na gar. Emergency za watoto nk
Miaka 35 - 40 = kuanzisha Biashara + kununua Kiwanja + kusomesha
Miaka 40 - 45 = kukuza biashara + kusomesha + kuanza kujenga nyumba ya pili
Miaka 45 - 50 = kukuza biashara zaid + kusomesha+ kumalizia nyumba .
Miaka 50 - 60 = kusomesha + Kustaafu na kusimamia biashara niliyoanzisha miaka 10+ nyuma.
Miaka 60+ kula pension.ππππ
Hii Ni mipango tu. Mungu ajalie .
Now niko Mid 30.
Tutapanda tu boda mshikaki πUna ndoa mbili mtu wangu? Ukija dar nakodi bajaj kwa ajili yakoπ π
KaandamaneSisi hatubebi makombo sisi tunakojolea kwa ndaniii
Mo29Mm sijawah support kataa ndoa.
Nataman kila mmoja aoe au kuolewa.
Maana ukimaliza hili la ndoa ndio utaona mwanga mbele.
Utapanga maisha yako kwa kujua una majukumu na malengo gani ya kutimiza.
Ngoja nishare Binafsi nilivyojiwekea.
Nikiwa na miaka 20. Niliwaza sana na kujiwekea malengo.
Nashukuru Mungu niko on track.
Miaka 22-25 = Gheto zuri + kagar kadogo πππ
Miaka 26-30 = Kuoa + Watoto + Kununua kiwanja.
Miaka 30 -35 = Kujenga + wifey awe na gar. Emergency za watoto nk
Miaka 35 - 40 = kuanzisha Biashara + kununua Kiwanja + kusomesha
Miaka 40 - 45 = kukuza biashara + kusomesha + kuanza kujenga nyumba ya pili
Miaka 45 - 50 = kukuza biashara zaid + kusomesha+ kumalizia nyumba .
Miaka 50 - 60 = kusomesha + Kustaafu na kusimamia biashara niliyoanzisha miaka 10+ nyuma.
Miaka 60+ kula pension.ππππ
Hii Ni mipango tu. Mungu ajalie .
Now niko Mid 30.
Kwa hapa Dodoma ina miaka 6 kwa dar ina miaka 2
Ndo nipo kwenye uchumbaVipi kwa hapa jamiiforums