madrid inaongoza LaLIGA na hata mpira bado si wa hovyo kama kipindi kilichopita. Nimetizama mechi zote za RM kuna makosa ya wachezaji yanaigharimu timu, kama juzi MODRIC kwa mechi ya Brugge na kukosa striker wa maana. Zizzou ni kocha mzuri... NA atapindua hili grp
Unapozungumza kukosa striker wa maana unakua unamaanisha nini mkuu?